Thank God nashukuru kwamba sasa nimeishaponaAhsante TF
Mzima wewe?
Eeee bana eeeee, siongei sana acha nimpeleke muhusika Straight kwa wapopo.
GUESSING IZ STRIKTLY PROHIBITED.
TWENDE KAZI
Duh, sasa huyu si atakuwa anatoka povu jingi sana miaka 3, itabidi nimloweke kwenye maji ya uvuguvugu kupunguza hasira au kazi ya goti. Ngoja niangalie time table yangu TB akilala
Or you think am wrong?? Please tell.....
You know what i mean....lol...hivi tell me somethin Rocky aka Nick yuko hapo chini muda mrefu sana au yuko kwenye mawindo..lolPerfectooo!! A CLASSIC.... inamfaa kabisa na naona karidhika.....
hahahaha..... Gotcha!!! (on a serious note... I know, are you saying you think i have met your anko?? yaani naomba asisome hii post kweli tena...lol)
Hi AshaDii,
Maybe it is too late na mwelekeo wa thread umesha badilika but I have to say it loud:
4 years after the first sight, "I think I am in CRAZY IN LOVE" and Thank God it's Eid!
Klorokwin ni kweli kua Kazi imetendeka.... Naomba Muongozo hio spesheli kwa nani?? lol... Habari yako bana!
Eccentric (adjective)=
1 a : tending to act in strange or unusual ways
b : strange or unusual
2 technical : not following a perfectly circular path
Realistic (adjective)=
1 : able to see things as they really are and to deal with them in a practical way
2 : based on what is real rather than on what is wanted or hoped for : sensible and appropriate
3 : showing people and things as they are in real life
Source: Merriam-Webster
Now you tell me, which one of those definitions apply....
Sorry to say this if it will bother you... I still stick with eccentric (ndo maana nikasema in relation na matters of the heart) and in other cases always realistic.
Strictly confidential. (As lawyer as I can be)
Habari ni bomba tu aisee, jana niliota nimekuwa mod, naomba nipigie debe.
No problem. You are entitled to your own opinions but not your own facts. Therefore, we can agree to disagree without being disagreeable.
But it amazes me you can't list even two of those eccentricities but yet you stick to your claim!
Mie natuma maombi wafute mods....lol
So we are good then??
Kwa vile Russian Roullete ni swahiba wako naona anza kwa kumPM RR kwanza, nikipata umod nitahakikisha PM za kaizer ambazo zinakwenda kwa bebii zote nakufowadia wewe.......lol......... Huishi kunikosha Klorokwini.... Mie nipo kwa ajili yako, Hilo debe inatakiwa nipige wapi??