Sure, I miss the girl. Alikuwa Star MMU hapa. Enzi za kina Carmel na infidelity..........
Acha tu hommie angekuwepo leo ningemwaga amambo ya "in love" mpaka AshaDii apende
Ila am still searching
Ku fall in Love hakuna kikomo kabisa.... As long as you have Loved and Broken hearted, you are allowed to love again.... and again... and again....
wivu tu huo wewe obama si unamichelle wako....huko kwingine tuachie wenyewe si unaona tunavopagawa
gaga umeona eeeh? Haiwi the same bwana ile ya kwanza inahit zaidi mavibration mitikisiko hata kama muhusika hamfukii wa pili yake but wa kwanza bwana moyo unadunda . Maybe ni kwa sababu ni mara ya kwanza kuitroduce mindi kwenye ulimwengu wa mapenzi nini?na vile vibridi ikifika jioni, acha mchezo kabisa, fallin in love sio kitu cha mchezo...na mungu alivo mjanja unapewa hiyo hali mara moja tu maishani, love zingine zinazofata zinakuwa hazifikii ile ya kwanza japo nazo zinakuwa strong sana
If you have never experienced hapo kwenye red sidhani kama unaweza kuwa na experince nzuri ya mapenziKu fall in Love hakuna kikomo kabisa.... As long as you have Loved and Broken hearted, you are allowed to love again.... and again... and again....
Hahaha!!! Wewe Mr President weweTrue, hata mm nili mwona BUBU aki fall in love, ilikuwa purukushani kama PAKA, maana... Mmhh asarfgg, hhwaa...
here i am sis loh?smiles nimewahi kutanishwa nae kwenye thread moja pale lounge a.k.a chit chat, but i liked her on spot (thou siamini bado maelezo ya kaizer ya mahusiano yao ya kale...lol) i wish arudi hapa tena.... Guys do something...
Ingia kwenye plan B sasa ya kumfanya aone wivu
AshaDii my Darling Shem..........
Naomba nikuulize ka swali ka kizushi:
Unaweza kuwa in love na mtu zaidi ya mmoja?..........Inakuwaje inapotokea hizi feelings unazifeel kwa zaidi ya mtu mmoja?
kweli atadanganya ashadii kamaliza la saba kawekwa ndani huyo shem kaizer huyu naskia kaanza form one akiwa kwake form 3 akastop ujauzito lohif you have never experienced hapo kwenye red sidhani kama unaweza kuwa na experince nzuri ya mapenzi
If you have never experienced hapo kwenye red sidhani kama unaweza kuwa na experince nzuri ya mapenzi
Si nilishasema nilifall kwa Smiles?Mbona sasa sipati feedback yoyote ile?? lol
Ni vizuri kupata experience ya the other side of the coin ili ujue upande wa pili wa moyo wako huwa unakuaje vinginevyo hautoweza kutoa experience nzuriHivi love experience how do we define it? Me nachojua upande mmoja like honey yakigeuka kama shubiri au kuna ziada, ni lazina uwe broken hearted?
Mh!Labda moyo wa jiwe si wa nyama!
If you have never experienced hapo kwenye red sidhani kama unaweza kuwa na experince nzuri ya mapenzi
Ni vizuri kupata experience ya the other side of the coin ili ujue upande wa pili wa moyo wako huwa unakuaje vinginevyo hautoweza kutoa experience nzuri
kwaiyo hii thread imetugeukia sisi wahanga wa broken heart jamani?eiyer roho ilopewa na mungu majaliwa ya kupenda... Huumizwa na hupenda tena, sababu for the simple reason roho ni nyama sio jiwe hivo maamuzi ya hio roho ifanye nini hayapo mikononi mwako asmuchas ni yako...
Exactly pa.... Naomba msikilize beyonce kwenye hii "broken hearted" (i lurve this song... Love it!!)
here i am sis loh?
mmmh ?????????????????????????si nilishasema nilifall kwa smiles?