Mie najichotea mauzoefu tu hapa.......................
Nimeshiba! Taaamuuu!oooooh luv u luv u luv u baba matesha wang
Dah nilifikiri ni Smiles kumbe Smile!ni kweli sijiachii tena kiviiile nipo kimachale machale loh?
Hujamsoma daughter eeee
Usisahau kumpa namba yangu ya simu............:lol:Zinduna dear.... Karibu saana hapa ndo MMU, Na waliomo humu wanafamilia, nitakutambulisha kwa babu wa wajukuu zoote humu ndani akuoneshe njia na namna mbali mbali hapa janvini (ukitaka hata nje ya jamvi...lol) Narudia Karibu saana....
Enjoy....
Mpwa naona uko kikazi zaidi....... Ila nakutahadharisha hili jina Gaga lina mmiliki wake!!Ishu ilikuwa Love is blind, lakini mwanamke anaanza kumpenda mwanaume baada ya kutongozwa kwa maana hiyo penzi sio kipofu bila kutongozwa na Fidel wewe Gaga usingenipenda au sio? Kwa hiyo maneno yangu matamu yamekufanya unipende.
lakini wanasema unaweza kujifunza kumpenda mtu.love ipo tf ila automatically tu sijiskii mishtuko au mavibration ya moyo kiviiile nipo nipo tu ila i think an in lovethen probably this is not love but i can define it as crush
Nadhani uko kweli.. kwani I feel kuna upande unaniambia I have Love.. lakini kuna upande unaniambia hiyo siyo love ni sacrfice whether you like it or not.. Lakini kuna upande mwingine unaniuliza swali "mbona unachanganyikiwa ukifikiri kukosa iko kitu ambacho hauko tayari kukubali ni mapenzi? Happily confused!
yap mimi smile former bebii hacker wamevamia id yangu mkuudah nilifikiri ni smiles kumbe smile!
Mpwa naona uko kikazi zaidi....... Ila nakutahadharisha hili jina Gaga lina mmiliki wake!!
yap mimi smile former bebii hacker wamevamia id yangu mkuu
Ukisema unampenda yeye hakupendi sema unamtamani ndipo atakupenda yeye
Unajua kupenda na kutamani ni vitu viwili tofauti lakini vina lengo moja
mmmmh chauro nawe loh?yakikufika hata hutajua umejiachiaje....unabakia kujiuliza machale yalikuwa wapi?
sio mbili mkuu baada ya ile kuvamiwa nimemuomba mod anibadilishe ile haipo tenaduhh kumbe una id mbili hongera sana
Very true....lakini ni ngumu sana aiseee,mara nyingi huwa najiuliza hili swali. How can i believe in love again after being hurt so badly???tena not once!!!!
The truth is I don't want to put walls up and guard my heart and i don't want to be bitter about love,but right now I am.
Sasa mkuu hebu nisaidie natokaje hapa to start a new relationship kwa imani kuwa haitakua kama zilizopita na kuachia moyo wangu nimpe mtu penzi haswaaa analostahili....lol!
AshaDii - I'm sorry to say I'm not in LOVE!!!!
Ok babiiii,yap mimi smile former bebii hacker wamevamia id yangu mkuu
mie nishawahi kupenda zamani sana bila hata ya kuambiwa na huyo kijana, hiyo nayo unaiitajeIshu ilikuwa Love is blind, lakini mwanamke anaanza kumpenda mwanaume baada ya kutongozwa kwa maana hiyo penzi sio kipofu bila kutongozwa na Fidel wewe Gaga usingenipenda au sio? Kwa hiyo maneno yangu matamu yamekufanya unipende.