Dah! Huu wimbo wa Pepsi alioimba diamond ni balaa

Kuna ile jingle ya Switch on ambayo yupo Vanessa, Barnaba na Ney, kuna ya Zantel Uhuru Kiganjani na za Clouds. Kwangu hzi ndio jingle bora.
 
Wengine wakisema wimbo huwa wanauweka kabisa
 
Kuna ile jingle ya Switch on ambayo yupo Vanessa, Barnaba na Ney, kuna ya Zantel Uhuru Kiganjani na za Clouds. Kwangu hzi ndio jingle bora.
Hiyo jingle ya Airtel aliyoifanya Vee,Ney wa Mitego na Barnaba nilikuwa naikubali sana..

Jingle za Clouds ni hitsongs kabisa aisee..

Chibu naye kwenye matangazo anatulia sana..
 
zile za clouds ni tatizo.kuna ile ya kufungua dunia
 
Hiyo jingle ya Airtel aliyoifanya Vee,Ney wa Mitego na Barnaba nilikuwa naikubali sana..

Jingle za Clouds ni hitsongs kabisa aisee..

Chibu naye kwenye matangazo anatulia sana..

Hapo kwa Clouds ni kweli kabisa, mfano hii ya mwisho aliyoimba Marissa ni moto.
 
Mond huwa anatisha sana kwenye Jingle, ile ya Coca-Cola anlifanya unyama sana mule. Naikubali sana ile na ya Clouds (Kuwa Unachotaka)

Wewe ndio member unaetisha kwa kutuwekea hapa wengine wanabwabwaja alafu hawaweki nyimbo hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…