Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,323
- 1,713
Nawaza pande walilomkatia mwana kwa kuwatangazia kinywaji chao.Juzi juzi pepsi walikuwa wanasherekea rekodi kubwa ya mauzo kwa mwaka 2020.
Hakika mkono wa mwamba umehusika
Nawaza pande walilomkatia mwana kwa kuwatangazia kinywaji chao.Juzi juzi pepsi walikuwa wanasherekea rekodi kubwa ya mauzo kwa mwaka 2020.
Hakika mkono wa mwamba umehusika
Wengine wakisema wimbo huwa wanauweka kabisaHuyu jamaa makampuni yanavyogongana kutaka awatangazie biashara zao huwa hawakosei...
Nilikuwa sijawahi kulisikia hili tangazo la pepsi, huu wimbo nakiri kabisa kuwa ni hit song kwa upande wa matangazo
Hili ni la pili baada ya lile la cocacola la kuonja msisimko
Mwenye nalo la pepsi atupie hapa
nakupata mzee wa negativity hater katika ubora wako. Ila jamaa ni balozi wa pepsi sio wa joto duniani so hapo hahusiki.Hakika mkuu,hata ongezeko la joto duniani mkono wa mwamba umehusika mzee baba.
Kweli mkuu,hata kuvalishwa pete Vanessa kuna mkono wa diamond jomba.nakupata mzee wa negativity hater katika ubora wako. Ila jamaa ni balozi wa pepsi sio wa joto duniani so hapo hahusiki.
hakika mwamba. Endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe.Kweli mkuu,hata kuvalishwa pete Vanessa kuna mkono wa diamond jomba.
Hiyo jingle ya Airtel aliyoifanya Vee,Ney wa Mitego na Barnaba nilikuwa naikubali sana..Kuna ile jingle ya Switch on ambayo yupo Vanessa, Barnaba na Ney, kuna ya Zantel Uhuru Kiganjani na za Clouds. Kwangu hzi ndio jingle bora.
Hatari sana Jf imevamiwaDah..ivi mtu anawezaje andika kitoto ivi. Mi binafsi sipendi
zile za clouds ni tatizo.kuna ile ya kufungua duniaHiyo jingle ya Airtel aliyoifanya Vee,Ney wa Mitego na Barnaba nilikuwa naikubali sana..
Jingle za Clouds ni hitsongs kabisa aisee..
Chibu naye kwenye matangazo anatulia sana..
Ile ni hatari aiseee""Nionyeshe ishara nami nitakutumikia,...."Hatarizile za clouds ni tatizo.kuna ile ya kufungua dunia
Hiyo jingle ya Airtel aliyoifanya Vee,Ney wa Mitego na Barnaba nilikuwa naikubali sana..
Jingle za Clouds ni hitsongs kabisa aisee..
Chibu naye kwenye matangazo anatulia sana..
😂😂😂 mvumilie mkuu. Kizazi cha "x" badala ya "s"Andika kiume acha ufala
Mond huwa anatisha sana kwenye Jingle, ile ya Coca-Cola anlifanya unyama sana mule. Naikubali sana ile na ya Clouds (Kuwa Unachotaka)