Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,979
- 5,295
Dah! Jamaa huyu jamaa hivi ni ubahili au nini? Mbona anavaa kishamba sana?
wakati huo umetupia na miwani kubwa kuliko kichwaHao nao huwa wanawacheka sana na mapigo yenu ya kadeti za kubana, mkanda nje na shati juu huku chini umevaa mkwaju sadaka mmoja matata sana umepakwa mafuta ya kupikia.
Na mkononi umeshikilia diary.
Mengine ongezea .....
Yesu si Mzungu!Kupigiria viwalo, kula mboga saba Mezani, nyama kwa sana kilasiku, Bia, umbumbu wa elimu dunia eti kusoma ni mateso, kunenepesha makalio, na kujaza migari uwani, kwa Miafrica ndo zao!
lkn kwa sisi wenye nazo, ndiyo umaskini sasa huo km hujui! Princes,charles, William, Harry wange kuwa weusi wasingejitaabisha kusoma wale!! wangekula bia,kiti moto, jeuri mpaka baasi!!
wenyewe wana kamsemo kuvaa vizuri unaficha umaskini, lkn huyu tangia Babu wa babu! mpka na nchi yenyewe anayoishi wanaogelea kwenye mafanikio na mifweza ndo usiseme! hafirisiki kirahisi!!
lkn Bongo! ndo kwanzaaa tajiri Manji muhindi anatekwa!! tena bila mshipa wa aibu!! kazi hii anafanya Rais jamani haswaa!! anae paswa kumlinda. tena hata bila aibu jamani! anatumia Bastola za ikulu, mwee!
Rangi nyeusi sijui mna nini? Dhambi mliyofanya kumuudhi Mungu ni kubwa sana!! Tubuni hamtaki tuwafanyeje sasa?!!
Yaani hata kutubu sijui mtatubu kwa nani? make yesu Mzungu mnae mtambua kwa miaka dahari sasa, hawatambui nyie km watu! anawaitaga ni manyani tu! mkienda kutubu kwake mtaambulia kubaguliwa tu! na matusi! tena si ajabu akawamaliza!
Ok! muarabu basi!Yesu si Mzungu!
Ni Myahudi, Wayahudi sio Wazungu kabisa.Ok! muarabu basi!
Bana wee!!! mbona unawazunguka zunguka funguka au wali paa na Yesu mbinguni? kwani wasamaria nao wako wapi siku hizi? si waliishi enzi za Yesu au....Ni Myahudi, Wayahudi sio Wazungu kabisa.
Pia si Waarabu!
Ndio, ila hao wote sio Wazungu.Bana wee!!! mbona unawazunguka zunguka funguka au wali paa na Yesu mbinguni? kwani wasamaria nao wako wapi siku hizi? si waliishi enzi za Yesu au....
Hao nao huwa wanawacheka sana na mapigo yenu ya kadeti za kubana, mkanda nje na shati juu huku chini umevaa mkwaju sadaka mmoja matata sana umepakwa mafuta ya kupikia.
Na mkononi umeshikilia diary.
Mengine ongezea .....
wakati huo umetupia na miwani kubwa kuliko kichwa
oooh! una maanisha Wamanga koko, sawa nimekuelewa boss kuba!Ndio, ila hao wote sio Wazungu.