Dah! Hivi ni kwanini Wazungu wengi hawajali kuwaka/ kutupia?

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Dah! Jamaa huyu jamaa hivi ni ubahili au nini? Mbona anavaa kishamba sana?

FB_IMG_16313708616484671.jpg
 
Hakuna jibu la moja kwa moja, lakini nafikiri ni kama ipo kwenye damu+ kipaumbele cha jamii ya aina fulani inavyojiwekea. Angalia kuanzia mwazo mpaka dk 1:40
 
Sikuna wewe ukiwa bilionea utajua kung'aa nako ni ushamba uliopitiliza, au ulimbukeni fulani hv,!

Ukiwa smart unaficha umaskini, sasa yeye kaamua kuwa rough ili kuficha ubilionea wake,🤣🤣🤣, viceversa is true, hiz akili zangu bana😂
 
Kupigiria viwalo, kula mboga saba Mezani, nyama kwa sana kilasiku, Bia, umbumbu wa elimu dunia eti kusoma ni mateso, kunenepesha makalio, na kujaza migari uwani, kwa Miafrica ndo zao!

lkn kwa sisi wenye nazo, ndiyo umaskini sasa huo km hujui! Princes,charles, William, Harry wange kuwa weusi wasingejitaabisha kusoma wale!! wangekula bia,kiti moto, jeuri mpaka baasi!!

wenyewe wana kamsemo kuvaa vizuri unaficha umaskini, lkn huyu tangia Babu wa babu! mpka na nchi yenyewe anayoishi wanaogelea kwenye mafanikio na mifweza ndo usiseme! hafirisiki kirahisi!!

lkn Bongo! ndo kwanzaaa tajiri Manji muhindi anatekwa!! tena bila mshipa wa aibu!! kazi hii anafanya Rais jamani haswaa!! anae paswa kumlinda. tena hata bila aibu jamani! anatumia Bastola za ikulu, mwee!

Rangi nyeusi sijui mna nini? Dhambi mliyofanya kumuudhi Mungu ni kubwa sana!! Tubuni hamtaki tuwafanyeje sasa?!!

Yaani hata kutubu sijui mtatubu kwa nani? make yesu Mzungu mnae mtambua kwa miaka dahari sasa, hawatambui nyie km watu! anawaitaga ni manyani tu! mkienda kutubu kwake mtaambulia kubaguliwa tu! na matusi! tena si ajabu akawamaliza!
 
Watu ambao hawashughulishi akili zao ndio huwaza kuvaa zaidi lakini wale ambao vichwa vyao vipo busy hawafikirii nivae nini nipendeze, hata huku kwetu afrika usiende mbali angalia Vyuoni na mashuleni wale vilaza ndio utakuta wanachomekea vzr na kupiga pasi wale vipanga utakuta wako hovyo twende Maofisini waangalie wahasibu wengi utakuta wanavaa bora liende lkn maproccurement na ma secretary utakuta wanajipigilia vzr
 
Kupigiria viwalo, kula mboga saba Mezani, nyama kwa sana kilasiku, Bia, umbumbu wa elimu dunia eti kusoma ni mateso, kunenepesha makalio, na kujaza migari uwani, kwa Miafrica ndo zao!

lkn kwa sisi wenye nazo, ndiyo umaskini sasa huo km hujui! Princes,charles, William, Harry wange kuwa weusi wasingejitaabisha kusoma wale!! wangekula bia,kiti moto, jeuri mpaka baasi!!

wenyewe wana kamsemo kuvaa vizuri unaficha umaskini, lkn huyu tangia Babu wa babu! mpka na nchi yenyewe anayoishi wanaogelea kwenye mafanikio na mifweza ndo usiseme! hafirisiki kirahisi!!

lkn Bongo! ndo kwanzaaa tajiri Manji muhindi anatekwa!! tena bila mshipa wa aibu!! kazi hii anafanya Rais jamani haswaa!! anae paswa kumlinda. tena hata bila aibu jamani! anatumia Bastola za ikulu, mwee!

Rangi nyeusi sijui mna nini? Dhambi mliyofanya kumuudhi Mungu ni kubwa sana!! Tubuni hamtaki tuwafanyeje sasa?!!

Yaani hata kutubu sijui mtatubu kwa nani? make yesu Mzungu mnae mtambua kwa miaka dahari sasa, hawatambui nyie km watu! anawaitaga ni manyani tu! mkienda kutubu kwake mtaambulia kubaguliwa tu! na matusi! tena si ajabu akawamaliza!
Yesu si Mzungu!
 
Hao nao huwa wanawacheka sana na mapigo yenu ya kadeti za kubana, mkanda nje na shati juu huku chini umevaa mkwaju sadaka mmoja matata sana umepakwa mafuta ya kupikia.
Na mkononi umeshikilia diary.
Mengine ongezea .....
wakati huo umetupia na miwani kubwa kuliko kichwa

Mfukoni kuna kihenka chifu hakijawahi kufuliwa toka kimenunuliwa na paketi ya ugoro.
 
Back
Top Bottom