Dah! Hivi ni kwanini Wazungu wengi hawajali kuwaka/ kutupia?

Hao nao huwa wanawacheka sana na mapigo yenu ya kadeti za kubana, mkanda nje na shati juu huku chini umevaa mkwaju sadaka mmoja matata sana umepakwa mafuta ya kupikia.
Na mkononi umeshikilia diary.
Mengine ongezea .....
 
Mack ni Nerd, hata Billgate pia ni Nerd, Nerds wana akili nyingi na hawana social skills, kama kuvaa, maisha ya trend kwenye fashion, badala yake muda wao mwingi unakuta wanatumia kufuatilia mambo ya sayansi na mara nyingi ni highly technical, huwa wana aibu na hawana mvuto kwa wanawake.

Anyway nyie mnapendeza mnashare picha zenu kwenye facebook na instagram ambavyo ni vyake, tumpe heshima Mack :)
 
Siku hizi kuwa Nerd ni jambo watu wanajisifia sababu ya hawa jamaa
 
Mkuu, hawa wengi wao kipindi wanajitafuta walikuwa wanafanya kazi masaa 120+ kwa wiki, sasa hayo ya kuvaa unayajua wewe..
 
Siku hizi kuwa Nerd ni jambo watu wanajisifia sababu ya hawa jamaa
:) , Mwanzo hawakuheshimika ila kwa sasa wengi ndio wapo huko Silicon Valley wakila mshahara mzuri, wanaheshimika kwa sababu wanaonekana wana akili na pia wazungu waliona umuhimu wa hawa watu na wakaamua kuwazungumzia vizuri, kuwaelimisha watu, ni kama kampeni flani ili jamii isiwaone ni wa hovyo, kuna ka msemo "Be nice to nerds. Chances are you'll end up working for one", :)
 
Ulisoma wapi kiingereza? Mwalimu wako anaitwa nani?
 
Naona ambao hamjui kuvaa mnafarijiana, kwani hakuna watu wenye hela walio smart? Wenye akili walio smart?
Wapo ila wingi ndio unazungumziwa. Acha tujifariji, ili mradi tu kitu tunachijifariji nacho ni cha kweli, na watu tunaojifariji nao ni kweli wana hela na hawajui kuvaa.
 
Waafrica na watu weusi kwa ujumla ni washamba sana, eti unawaita wazungu hawajali kuvaa, ili ajali kuvaa awe vipi? unajua thamani ya hicho kiatu unachokitolea mfano?
 
Hao nao huwa wanawacheka sana na mapigo yenu ya kadeti za kubana, mkanda nje na shati juu huku chini umevaa mkwaju sadaka mmoja matata sana umepakwa mafuta ya kupikia.
Na mkononi umeshikilia diary.
Mengine ongezea .....
huyu ni mmoja ambaye hobby yake anapendelea kuvaa design hii na unaweza kuwa na pesa a ukawa rough so its a choice
 
Kupigiria viwalo, kula mboga saba Mezani, nyama kwa sana kilasiku, Bia, umbumbu wa elimu dunia eti kusoma ni mateso, kunenepesha makalio, na kujaza migari uwani, kwa Miafrica ndo zao!

lkn kwa sisi wenye nazo, ndiyo umaskini sasa huo km hujui! Princes,charles, William, Harry wange kuwa weusi wasingejitaabisha kusoma wale!! wangekula bia,kiti moto, jeuri mpaka baasi!!

wenyewe wana kamsemo kuvaa vizuri unaficha umaskini, lkn huyu tangia Babu wa babu! mpka na nchi yenyewe anayoishi wanaogelea kwenye mafanikio na mifweza ndo usiseme! hafirisiki kirahisi!!

lkn Bongo! ndo kwanzaaa tajiri Manji muhindi anatekwa!! tena bila mshipa wa aibu!! kazi hii anafanya Rais jamani haswaa!! anae paswa kumlinda. tena hata bila aibu jamani! anatumia Bastola za ikulu, mwee!

Rangi nyeusi sijui mna nini? Dhambi mliyofanya kumuudhi Mungu ni kubwa sana!! Tubuni hamtaki tuwafanyeje sasa?!!

Yaani hata kutubu sijui mtatubu kwa nani? make yesu Mzungu mnae mtambua kwa miaka dahari sasa, hawatambui nyie km watu! anawaitaga ni manyani tu! mkienda kutubu kwake mtaambulia kubaguliwa tu! na matusi! tena si ajabu akawamaliza!
Utakuwa na mtindio wa akili manji wewe gaidi

USSR
 
Hao nao huwa wanawacheka sana na mapigo yenu ya kadeti za kubana, mkanda nje na shati juu huku chini umevaa mkwaju sadaka mmoja matata sana umepakwa mafuta ya kupikia.
Na mkononi umeshikilia diary.
Mengine ongezea .....
IPhone mkononi ringtone sauti mpaka mwisho
 
Back
Top Bottom