africaneagle
Senior Member
- Jun 29, 2015
- 111
- 27
nokia, samsung, lg na baadhi ya kampuni za ki japan nyingi nyingi wameshaweza kutengeneza display ya aina hio. ila nafkiri bado hawajakuwa na uwezo wa kufanya mass production ili kila mtu aweze kumiliki display ya ku roll
nokia bendable
nokia tri fold
samsung flexible
samsung flexible tena
na challenge nyengine kubwa ni kwamba hakuna processor, ram, storage na motherboard ambazo zinafold hivyo kwenye kifaa chako lazima uwe na sehemu ambayo haifold ili uvieke (angalia picha ya mwisho kifaa cha samsung hakifold chini ila juu display inafold)
ila soon tutaanza kupata vifaa kama hivyo