Dah hivi kuna siku hii technology itakuwa really kweli?

nokia, samsung, lg na baadhi ya kampuni za ki japan nyingi nyingi wameshaweza kutengeneza display ya aina hio. ila nafkiri bado hawajakuwa na uwezo wa kufanya mass production ili kila mtu aweze kumiliki display ya ku roll

nokia bendable
Nokia+kinetic+device+with+flexible+display+2.png

nokia tri fold
Nokia-Display-Tri-fold.png

samsung flexible
Samsung-Flexible-AMOLED-Display.jpg

samsung flexible tena
samsungflexibleamoledphone.jpg

na challenge nyengine kubwa ni kwamba hakuna processor, ram, storage na motherboard ambazo zinafold hivyo kwenye kifaa chako lazima uwe na sehemu ambayo haifold ili uvieke (angalia picha ya mwisho kifaa cha samsung hakifold chini ila juu display inafold)

ila soon tutaanza kupata vifaa kama hivyo
 
I hope so maana nimekuwa nikepekuwa sana naona tu kwenye presentation
 
Back
Top Bottom