Nimekuta kwenye web za ulaya. Na wachangiaji wanashabikiaHuo ni uzlilishaji kwa Afrika.
Huo ni uzlilishaji kwa Afrika.
Ni madhara ya brain wash hayo.Ukiachilia huo udhalilishaji, hata hapa Tanzania kuna wazamiaji wanaoamini kwamba Ulaya ndio kila kitu. Hawaishi kusema kwamba bora kuzaliwa mbwa Ulaya kuliko kuzaliwa mwanadamu Afrika. Wapo sana watu wa namna hiyo.
Ni madhara ya brain wash hayo.
Nadhani kitendo cha kutawaliwa tuu ndio kimetuaribu kisaikolojia vizazi na vizazi.
Zamani nilikuwa nahisi wazungu ni watu very special lakini nilipoanza kufanya nao kazi nikagundua hawana kitu cha ziada katika vichwa vyao na wengi ni wapuuzi kuzidi sisi.
Ni madhara ya brain wash hayo.
Nadhani kitendo cha kutawaliwa tuu ndio kimetuaribu kisaikolojia vizazi na vizazi.
Zamani nilikuwa nahisi wazungu ni watu very special lakini nilipoanza kufanya nao kazi nikagundua hawana kitu cha ziada katika vichwa vyao na wengi ni wapuuzi kuzidi sisi.
Hili ni kabila gani jamani? Au from Malawi !
Inahitaji muda na kutoka zaidi kwa Waafrika ili hii dhana ya kila kitu kizuri ni cha Wazungu iishe. Watu wanatakiwa wafahamu Afrika ndio sehemu mojawapo zitakazoleta mapinduzi makubwa katika millenia ya tatu. Hivyo, Waafrika wanatakiwa wajiweke sawa ili kuchukua fursa hii.
yaaani hapa tu ndipo ninapo wachukua hawa ndugu kwa kujiona wao ni bora kuliko sisi.. porogodio
Hili ni Kabila la BAKA na wanajulikana pia kama BAKA PYGMIES. Sifa yao kubwa ni kuishi maisha ya UJIMA na Kuchonga meno. Pia wenyeji wa maeneo hayo (Bantu) huwachukia sana kwa sababu ya WIZI. Jamaa ni vibaka hakuna. Maisha yao ni kama Gypsy ambao huishi kwa kuhamahama.
Hii ya kuamini Ulaya ni Mbinguni si kweli kabisa kwani wengi tu wameshafika Ulaya na kurudi makwao. Kwa sababu ya udogo wa kabila lao, wamekuwa wakichukuliwa kwenye maonyesho ya aina nyingi Ulaya, Marekani na Asia ambako huenda kuimba na kucheza.
Sauti zao zimetumika sana kwenye nyimbo za makundi mengi ya Music kama Deep Forrest na Enigma.
https://www.youtube.com/watch?v=cATZe_jlc9g
https://www.youtube.com/watch?v=tsdJn8cG5_w
https://www.youtube.com/watch?NR=1&v=2Kuf1TgaCgk&feature=endscreen
Hili ni kabila gani jamani? Au from Malawi !