Dah! Europe is the afterlife??

Dah! Europe is the afterlife??

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Hili ni kabila gani jamani? Au from Malawi !
attachment.php
 
yaaani hapa tu ndipo ninapo wachukua hawa ndugu kwa kujiona wao ni bora kuliko sisi.. porogodio
 
Ukiachilia huo udhalilishaji, hata hapa Tanzania kuna wazamiaji wanaoamini kwamba Ulaya ndio kila kitu. Hawaishi kusema kwamba bora kuzaliwa mbwa Ulaya kuliko kuzaliwa mwanadamu Afrika. Wapo sana watu wa namna hiyo.
Ni madhara ya brain wash hayo.
Nadhani kitendo cha kutawaliwa tuu ndio kimetuaribu kisaikolojia vizazi na vizazi.
Zamani nilikuwa nahisi wazungu ni watu very special lakini nilipoanza kufanya nao kazi nikagundua hawana kitu cha ziada katika vichwa vyao na wengi ni wapuuzi kuzidi sisi.
 
Inahitaji muda na kutoka zaidi kwa Waafrika ili hii dhana ya kila kitu kizuri ni cha Wazungu iishe. Watu wanatakiwa wafahamu Afrika ndio sehemu mojawapo zitakazoleta mapinduzi makubwa katika millenia ya tatu. Hivyo, Waafrika wanatakiwa wajiweke sawa ili kuchukua fursa hii.
 
Pointi muhimu sana.
Ni wa kawaida sana, basi tu. Sema sasa huwezi kuwashawishi hivyo hawa vijana wetu ambao mawazo yao yote ni kufka Ulaya siku moja. Hawawazi kwamba unaweza kutengeneza maisha hapa hapa na baadae kwenda Ulaya kutalii, sio kutafuta!
 
Inahitaji muda na kutoka zaidi kwa Waafrika ili hii dhana ya kila kitu kizuri ni cha Wazungu iishe. Watu wanatakiwa wafahamu Afrika ndio sehemu mojawapo zitakazoleta mapinduzi makubwa katika millenia ya tatu. Hivyo, Waafrika wanatakiwa wajiweke sawa ili kuchukua fursa hii.

napenda wazo lako lakini hali halisi kwa hapa Afrika kuleta mapinduzi katika millenea ya tatu si rahisi maana bado viongozi wetu ni wezi, wana roho mbaya, wachawi, na wavivu wa kufikiri na ndiyo maana wanafanya haya niliyoyataja. Huwezi kuleta maendleo hata siku moja iwapo wewe ni mtu wa kuendeleza ushrikina, na mvivu wa fikra. Inabidi kuwafanyia dua viongozi wote wa Afrika wafe tuje na damu mpya za kimaendeleo. Tukumbuke, miaka ya 70 tulikuwa tunakula sahani moja na nchi kama India, China, Brazil, na nyinyi za bara la Asia ila sasa wao wako wanakimbilia dunia ya pili sisi tunaenda dunia ya nne (yaani tunarudi nyuma zaidi) Hizi nchi ziipiga hatua baada ya kupata viongozi wenye kuona mbali na raia wenye msimamo kwani wengi (maraia) waliandamana pale serikali inapochemsha. Kwa hapa kwetu na hizi tabia zetu za hajabu, tutaweza kuandamana kweli kupinga serikali?
 
Hili ni Kabila la BAKA na wanajulikana pia kama BAKA PYGMIES. Sifa yao kubwa ni kuishi maisha ya UJIMA na Kuchonga meno. Pia wenyeji wa maeneo hayo (Bantu) huwachukia sana kwa sababu ya WIZI. Jamaa ni vibaka hakuna. Maisha yao ni kama Gypsy ambao huishi kwa kuhamahama.

Hii ya kuamini Ulaya ni Mbinguni si kweli kabisa kwani wengi tu wameshafika Ulaya na kurudi makwao. Kwa sababu ya udogo wa kabila lao, wamekuwa wakichukuliwa kwenye maonyesho ya aina nyingi Ulaya, Marekani na Asia ambako huenda kuimba na kucheza.
Sauti zao zimetumika sana kwenye nyimbo za makundi mengi ya Music kama Deep Forrest na Enigma.

https://www.youtube.com/watch?v=cATZe_jlc9g

rainforest.jpg

https://www.youtube.com/watch?v=tsdJn8cG5_w
https://www.youtube.com/watch?NR=1&v=2Kuf1TgaCgk&feature=endscreen
 
hapo kwenye wizi umepatia, wakiwa wanatoka Baka si watakuwa vibaka!!
ukiangalia picha niloweka macho yao tu yamekaa kiwizi wizi
Hata hivyo wizi ni asili yetu waafrika, maana hata Jk majuzi
alisema aliwahi kuiba ubwabwa
 
Sasa kama katika maisha yao hawategemei kupata maendeleo kama ya europe, na yatakuja tu baada ya kizazi chao kufa, kwa nini wasione europe kama afterlife?
 
Back
Top Bottom