Gang Chomba
Platinum Member
- Feb 29, 2008
- 20,734
- 4,871
Mh! Hapa nimekubali,sikujua kama Saladin hakuwa Mkongo. Hebu nikumbushe gitaa za Rythim na Base walipiga akina nani
maana nakumbuka Saladin alipiga solo gitaa.
Kuna huu wimbo wao wa Rosa:
Shimita: Ningekuwa na pesa ningenunua ndege, twende kuishi tuu karibu na mweziii
Wanaitikia: Kwa sababu watu wasituudhiii, kipenda roho hula nyama mbichii Rosaa............
Skia gitaa hilo???? even me naupenda sana na umenikoshaje sasa. Then ananyimbo 1 inaitwa TECHNO MALEWA MECANIQUE na TECHNO MALEWA SUITE
Nadhani Gang Chomba ameeleza vizuri hapo juu, nili quote kutaka kutoa jibu. Lokassa ya mbongo na Ngouma Lokito ndio wahusika.Mh! Hapa nimekubali,sikujua kama Saladin hakuwa Mkongo. Hebu nikumbushe gitaa za Rythim na Base walipiga akina nani
maana nakumbuka Saladin alipiga solo gitaa.
Kuna huu wimbo wao wa Rosa:
Shimita: Ningekuwa na pesa ningenunua ndege, twende kuishi tuu karibu na mweziii
Wanaitikia: Kwa sababu watu wasituudhiii, kipenda roho hula nyama mbichii Rosaa............
Ndugu, nina hizo nyimbo, ila sijajua nitaziwekaje. I'll tryAnayeweza kuniwekea wimbo wowote wa lile kundi kama sikosei lilikuwa linaitwa LUCIANA ndani pia walikuwepo AWILO LONGOMBA na NIMON TOKILALA, kiongozi wa kundi nafikiri ndiye hasa alikuwa anaitwa LUCIANA ambao nilisikiaga kundi lilisambaratika baada ya wanamuziki wengi kufariki kwenye ajali ya ndege kama sikosei.
Wale wazee wa "Zipompa pompa .......eeehh,....Zipompile papapa"
Ndugu, nina hizo nyimbo, ila sijajua nitaziwekaje. I'll try
hakika wanena vyema mkuucop de foutre. kitu ya ghato bivins
I am on :A S-fire1:........:heh::A S-heart-2::A S-heart-2::A S-heart-2::hug::hug::hug:
Inaitwa masuwa imepigwa na jb mpiana kwa kulaghai wenzake...usichokijua usijitie utaalaamMasuu ya Wenge bcbg, Fred nelson ya extra musica.....Nessy de London, Firie na Famie kikuta za mtu mzma Defao, Pesa position na auto route zte za Madilu system
Hakuna wimbo Huu kwa jina hili tajwa..... Jina hili ni la kundi maana yake ni tunaponda ponda.... Album yao ina nyimbo nane niombe nkutajie si kupayuka humuZipompapompa zipompile papapa