StarLink ni satellite internet iliyoanzishwa na company ya spaceX huko marekani. Lengo lao ni kuleta high speed and low latency (ping) satellite internet kwa bei rahisi. Satellite internet ya sasa haina speed kubwa na coverage kubwa. SpaceX wamerusha satellite 1145 hadi sasa zinazozunguka kwenye low earth orbit na bado wanaziongeza. Speed ya internet yake kwa sasa ni around 150 - 250Mbps (Download).
Kingine pia ni kwamba dish lao lina auto adjustment, hvyo wewe unaweka tu nje (au juu ya paa la nyumba) yenyewe inatafuta satellite za karibu na kuconnect (hakuna maswala ya kutafta fundi wa madish aanze kutafuta satellite na mavifaa yake).
Bei ya equipment (dish, router yake na accessories nyingine) ni $500 (1,160,000) na utakua unalipa $99 (230,000) kwa mwezi for unlimited. Ambayo ni bei sawa tu na satellite internet providers wa hapa bongo wanaokupa 5 - 20Mbps.
Sijajua kama satellite zao zipo reachable hapa bongo ila South Africa tayari zipo.
Sent using
Jamii Forums mobile app