Dah! Airtel na halotel, mmeua hahahaha!

Niliachana na airtel rasmi mwaka juzi ilinisumbua sn staki hata kuiskia
Hotel nayo ilikuwa ina sfika kwa internet sn lakini ilianza leta shida tu nayo nikapga chini
Kwasasa nipo na ttcl UN natamba hapa mwanza
 
Back
Top Bottom