Dah! Airtel na halotel, mmeua hahahaha!

Dah! Airtel na halotel, mmeua hahahaha!

Kwa hiyo mnafikiri watapata GPA kubwa ama uzalishaji utaongezeka sio?

Kitu mnashindwa kutambua ni kuwa wengi tunanata. NA DATA TU, HAYO MENGINE NI ADDITIONAL TU, MAANA KUNA VIFURUSHI VYA DAKIKA NA SMS MTU ATAJIUNGA HATA HIVYO HUWA HATUMALIZI HAYO MADAKIKA NA SMS HIVYO HAKUNA UMUHIMU WA KUPUNGUZA DATA KILA WAKATI.

AMEN

View attachment 1710334View attachment 1710335
Halotel
Screenshot_20210224-183158_Phone.jpg
 
Teknolojia inakuwa kwa kasi sana
Technology inatembea kwa kasi ya ajabu sana. Leo hapa nimeona video youtube kuwa kuna company wametengeneza device ambayo inakuwezesha kutumia computer kwa kuangalia tu kitu na kukifiria (mind control). Ni hatari sana.

Video hii hapa:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa. Wewe huwezi amini hadi leo hii BoT wamewabania PayPal kuruhusu kuwithdraw na kupokea hela Tz. Hivi kweli mwaka 2021 vitu kma hvi bado tunabaniwa. Kenya vijana sshv wanapiga freelance jobs kwa raha zao na hela zao wanazitoa bila hata kuhangaika. Sisi tutazidi kubaki nyuma kwenye tasnia ya technology kma hali ndo hii. Tutajenga mabarabara na kuishia hapo wakati wenzetu wanafanya changes duniani.

Wakenya watatuacha mbali sana hasa tunapoingia kwenye hizi zama za technology. Ukiangalia hapa duniani sshv macompany yenye hela nyingi yote ni tech companies.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ukizungumzia hao Freelancers, kuna baadhi ya top freelancing platforms ambazo Wakenya wanaweza kutoa hata kwa kutumia SafariCom let alone PayPal.
 
Screenshot ya juu ni mtandao gani? Au ndio vile unapewa MBs kibao, speed network utajua mwenyewe pakuipata
Airtel hawa washenz kabisa....unafungua data dk 2p...hujjapata hata sms moja ya wasapu
 
Kupitia menu gani unapata hii bundle kwa airtel
*149*99#>>>> (1) Ofa Maalum>>>>(8)Amsha Popo.

NB: Sasa kama uonavyo, wameanza na "Ofa Maalum", so sina uhakika kama hiyo ofa ipo kwa wote
 
StarLink ni satellite internet iliyoanzishwa na company ya spaceX huko marekani. Lengo lao ni kuleta high speed and low latency (ping) satellite internet kwa bei rahisi. Satellite internet ya sasa haina speed kubwa na coverage kubwa. SpaceX wamerusha satellite 1145 hadi sasa zinazozunguka kwenye low earth orbit na bado wanaziongeza. Speed ya internet yake kwa sasa ni around 150 - 250Mbps (Download).

Kingine pia ni kwamba dish lao lina auto adjustment, hvyo wewe unaweka tu nje (au juu ya paa la nyumba) yenyewe inatafuta satellite za karibu na kuconnect (hakuna maswala ya kutafta fundi wa madish aanze kutafuta satellite na mavifaa yake).

Bei ya equipment (dish, router yake na accessories nyingine) ni $500 (1,160,000) na utakua unalipa $99 (230,000) kwa mwezi for unlimited. Ambayo ni bei sawa tu na satellite internet providers wa hapa bongo wanaokupa 5 - 20Mbps.

Sijajua kama satellite zao zipo reachable hapa bongo ila South Africa tayari zipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwa sasa hakuna kampuni yeyote inayotoa huduma hii ya internet ya kwamba ninue dish then nifunge na kulipia bill niwe napata internet speed nzuri na kwa malipo nafuu ikiwa nina kiofsi changu
 
Huku Tz wanasema rudi nyumbani kumenoga. [emoji28]
 
Hivi kwa sasa hakuna kampuni yeyote inayotoa huduma hii ya internet ya kwamba ninue dish then nifunge na kulipia bill niwe napata internet speed nzuri na kwa malipo nafuu ikiwa nina kiofsi changu
Satellite internet zipo hapa bongo.
Kuna Blink Tz, Spicenet, SimbaNET, na zingine huko.

Chief-Mkwawa anaweza taja zingine. Ila zipo na watumia sana watu ma office na wengine wenye internet cafe kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uni ya kibwabwa hii, ilikua ina makali zamani now days sidhani kama kuna mtu anaunga mabando yake kwa ofa za uni

Kutoka MB600 kwa jero week nzima hadi 250 wakati kwa buku laini ya kawaida unapata GB1 sms unlimited dk10 halo kwa week nzima

Na walichemsha sana kutoa ile unlimited ya usiku mumbwa hawa
 
Shukrani mkuu hawa uliowataja wengi wao wanaishia dar mikoani ni shida
Wapigie simu SimbaNET or Blink huwa wanaweka mpka mikoani. Sababu satellite internet ni upate tu mtu wakuset dish. Sidhan kma mkoani hzo satellite wanazotumia hazitakuwepo. Blink wana office Dar na Arusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani mkuu hawa uliowataja wengi wao wanaishia dar mikoani ni shida
Satellite zina coverage kubwa no way iwe dar halafu Mkoani isiwepo, yaani wakielekeza satellite Africa ujue Almost Africa nzima itakuwa covered.
 
Airtel hamna kitu kwenye internet unaweza kuwa na bundle mpk linaisha hujafanya lolote
Na wakati mwngn hata kupga simu tu au kutuma sms inagoma
 
Back
Top Bottom