Dagaa chele...

Dagaa chele...

Chimbo zuri mkuu nenda siku moja kawe ukwamani pale halafu fanya kama unaingia ndani hivi kuna maza mmoja anakaanga daily
Tatizo mafuta yao yanakuaga machafu. Wanakaangia samaki hata siku 3 mfululizo. Kuna mpemba anakaanga kila siku jioni ndo nikitaka nachukua kwake kidogo namuona anajali afya za walaji.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ndugu flani mpishi Israel alirudi kusalimia akaniagiza halafu ule wali akachanganya na mboga mbichi loh!!.. Nikatengenezewa na juice ya maziwa aseh!!..
 
kuna ule mchele wa wahindi unauzwa kwenye kimfuko cha kilo 5 unaitwa Bismati ule ndio mchele grade A+ aseh!.. Sema bei zake na quantity yake tu lakini ningeufanya mlo wangu continuosly!..

Ndio pishori hiyo kaka
 
Back
Top Bottom