Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,402
- 88,872
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungeniuaga wewe.Tatizo lako wewe arosto ya keki [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungeniuaga wewe.Tatizo lako wewe arosto ya keki [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiasi mkuuNikila wengi sana nakinai
Hata sijui. Nanunuaga wa mafumbo kwa wamama mtaanikwani sahani sh ngapi/? nil
Cufk off mkuuInasikitisha sana....
Wewe nawe kwani akila hadharani wewe unaathirika na nini? Kama umeamua kufunga funga acha kutamani wanavyokula wasiofunga.Mwezi mtukufu mkuu punguza mihemko ya kula hadharani mkuu
SifahamuJe, wajua madhara unayoweza yapata kwa matumizi ya mifuko ya plastic kwa chakula?
Sio uono?Kiswahili fasaha wanaitwa SIMU
kila siku nakuambia nunua sahani.unapatikana wapi nikuletee?Wakuu, Kuna vitoweo vingi vitamu kama kuku, samaki, kitimoto, nyama, mbuzi etc. Ila dagaa chele anaweza akakufanya ukamaliza ugali kilo Tatu aisee
noo sahani ya kulia.huoni analia kwenye mfuko?Hata sijui. Nanunuaga wa mafumbo kwa wamama mtaani
Ndo mi najua uonoOooh. Tanga wanaita uono
Umesahau, cha mzaramo, kibaigwa, cha mtumeChakula kitamu kawaida kuwa na majina mengi. Angalia RICE kwa kiswahili
Mpunga
Mchele
Wali
Ubwabwa
Pilau
Biryani
Pishori
Bokoboko
Pepeta
Etc
Nk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kila siku nakuambia nunua sahani.unapatikana wapi nikuletee?
Hatari mkuuFanya Mara mbili ya huo ugali. Achana na uono kabisa. Hao Dagaa ni watamu
Hahahahahaa. Unataka kumnunulia??noo sahani ya kulia.huoni analia kwenye mfuko?
Sema hakyamama?Wanaongeza sana Nguvu za kiume
Hahah, mkongwe inaelekea unawaelewa sanaHizo ndo mboga za ugali, usiniletee nyama kwa wiki mara 3, lete hizo kwa wiki mara 4 tena mchana na mnafu pembeni au hata bila mnafu lete twendeeeeeeeeeee Grrrrrrrrrrrr chezea wewe
Hakyamama.Sema hakyamama?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakyamama.
wacha kabisa hapo ni hatareeeeee, ugali hapo ni mziki ukisikia hodiii una mkaribisha unampa ICE CREAM atulie hapo maana hajui, hawezi na ndio saizi yake anaendelea na huo mziki wake na mimi huku naendelea huku mnaendelea kupiga story.Hahah, mkongwe inaelekea unawaelewa sana