Dagaa chele...

Dagaa chele...

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Wakuu, Kuna vitoweo vingi vitamu kama kuku, samaki, kitimoto, nyama, mbuzi etc. Ila dagaa chele anaweza akakufanya ukamaliza ugali kilo Tatu aisee
 
Hatari haya mambo
20180517_144421.jpg
20180517_144441.jpg
 
Je, wajua madhara unayoweza yapata kwa matumizi ya mifuko ya plastic kwa chakula?
 
Wakuu, Kuna vitoweo vingi vitamu kama kuku, samaki, kitimoto, nyama, mbuzi etc. Ila dagaa chele anaweza akakufanya ukamaliza ugali kilo Tatu aisee
Fanya Mara mbili ya huo ugali. Achana na uono kabisa. Hao Dagaa ni watamu
 
Hizo ndo mboga za ugali, usiniletee nyama kwa wiki mara 3, lete hizo kwa wiki mara 4 tena mchana na mnafu pembeni au hata bila mnafu lete twendeeeeeeeeeee Grrrrrrrrrrrr chezea wewe
 
Back
Top Bottom