Lol...kloro nnaemjua mimi suti atoe wapi?... Labda asubri uporoto afunge ndoa na husninyo afu amwazime suti... Njoo nae ntakununulia viatu na hijabu...hehehe,misaada ina raha yake banaa,unachagua ya bei ya juu kuliko zote,lol!
shida ya kloro atakuambia suti anazo ila kuna kitu anataka. ntampa ujumbe lakini. sasa nije nae uninunulie viatu?
Ile biashara ya mawigi mtaji ulikata... King'asti ameahidi kuniwezesha soon, ulete hiyo bahasha yangu aliyokukabidhi...Dah! umechumbiwa na Dr Riwa nini?
Khaaa! tusiwasingizie watumishi wa mungu jamani
Sweetlady bana! ile biashara yako kuuza mawigi kutoka msumbiji inaendeleaje?
Naomba nikupe pole kloro huwa hafikishi hela hata siku moja muulize ashadii atakueleza yaliompata kwa hela iliyopita mikononi mwa kloro swahiba wangu.Ile biashara ya mawigi mtaji ulikata... King'asti ameahidi kuniwezesha soon, ulete hiyo bahasha yangu aliyokukabidhi...
sweety kwa kudeka bana,lakini ndio nachokupendea mwanamke lazima aringe kidogo na pozi kwa mbali,kuhusu bar si uliniambia niongee na anko wako naye p.o.box au physical address yake si bar ?
sweety lakini anko kapinda aisee anadai 'uza nyumba uheshimike bar', 'bia muhimu chakula anasa', 'shinda/kesha bar nyumbani pita tu' hahaha! naomba tu kesi iishe bila kunishwishi aiseeh!hahahahaha! Mamkwe kashatuandalia chakula. Nakupitia twende.
Toka usikie uporoto amenunua hammer huishi kujipendekeza! Daaah.... Hivi husni HOYANGA alipotelea wapi? Nimemkumbuka ghafla, sijui aliponaga au ndo kazidiwa kabisa!.. Mtafute tafadhali..hahahahaha! Mamkwe kashatuandalia chakula. Nakupitia twende.
Hahaha...hii ataifikisha, si unajua bado ana zile hela za kampeni ya Igunga... Umemwona tbc akihutubia wana Igunga na shati la kijani?.. Yule mwenye mawani afu kajikondea ndo kloro ujue!Naomba nikupe pole kloro huwa hafikishi hela hata siku moja muulize ashadii atakueleza yaliompata kwa hela iliyopita mikononi mwa kloro swahiba wangu.
Khaaah! Huyo anko chama gani??...lolsweety lakini anko kapinda aisee anadai 'uza nyumba uheshimike bar', 'bia muhimu chakula anasa', 'shinda/kesha bar nyumbani pita tu' hahaha! naomba tu kesi iishe bila kunishwishi aiseeh!
sweety lakini anko kapinda aisee anadai 'uza nyumba uheshimike bar', 'bia muhimu chakula anasa', 'shinda/kesha bar nyumbani pita tu' hahaha! naomba tu kesi iishe bila kunishwishi aiseeh!
Toka usikie uporoto amenunua hammer huishi kujipendekeza! Daaah.... Hivi husni HOYANGA alipotelea wapi? Nimemkumbuka ghafla, sijui aliponaga au ndo kazidiwa kabisa!.. Mtafute tafadhali..
hahaha! huyu atakuwa UPDP wale jamaa wanaodai hawawezi kuendelea kuona vijana wanakaa vijiweni wakiota jua kama solar panels hahaha!Khaaah! Huyo anko chama gani??...lol
anko kapinda bana anadai tunajisumbua tu yule mama atarudi mwenyewe 'hata mahari alijilipia mwenyewe' hahaha!uncle wangu wa ukweli bwana. Bidada kajirudisha mwenyewe. Lol.
Khaaa! mbona juzi tu nimepima wameniambia mambo swafiii. Walahi wamesema sina.Hahaha...hii ataifikisha, si unajua bado ana zile hela za kampeni ya Igunga... Umemwona tbc akihutubia wana Igunga na shati la kijani?.. Yule mwenye mawani afu kajikondea ndo kloro ujue!
Hahahaha! Nilijua anko lazima awe wa UPDP....alinivunja mbavu walah...eti vijana ikifika sa nne haooo wanajianika juani!..kweli anko wako kapinda kuliko Mukama!..hahaha! huyu atakuwa UPDP wale jamaa wanaodai hawawezi kuendelea kuona vijana wanakaa vijiweni wakiota jua kama solar panels hahaha!
anko kapinda bana anadai tunajisumbua tu yule mama atarudi mwenyewe 'hata mahari alijilipia mwenyewe' hahaha!
Siku hizi wanashauri hata kama huna uanze tu kutumia dozi manake hatujui siku wala saa tutakao kutana nao...Khaaa! mbona juzi tu nimepima wameniambia mambo swafiii. Walahi wamesema sina.