DADA YENU MAPENZI YAMENIKABA KOO

Msikilize @MadameS, upate ushauri wa kiungwana
 
Aisee... Bahati mbaya/nzuri sana mimi si mwajiriwa... La sivyo ungenifaa sana na ningekufaa sana...
 
 
Duuuu pole sana mkuu, ila hata hiyo lugha ya uandishi wako inaonekana yakikauzu sana na nadhani we ni kauzu sana. Jaribu kuishi kama mwanamke wa kawaida tu usijipandishe hadhi sana wala usijishushe mno. Maana inaonekana unataka mwanaume dizaini flani hv mwenye mafanikio makubwa halaf awe hana hata girlfriend jambo ambalo sidhan kama utafanikiwa. Halaf pia ukumbuke dini si kigezo cha kuchagua mume unaweza olewa na mume wa dini tofauti na mkaishi vizuri tu and vice versa.
 
Pole sana Dada huyu, japo nishakujua ni nani ila jaribu kutuliza akili kwa kukomaa na kazi, afu kuhusu kuolewa ukiwa bikra ni muhimu sana subira yavuta heri
 
Tatizo letu huwa mnawakataka wenye muonekano mzur, wenye kazi mzur, wenye pesa

Wanaume wapo kama utahitaji ndoa kweli
Hutakiwi kuchagua sana
 
Dadahuyu , Mungu akubariki.

Katika umri huo wa miaka 26 wala haupaswi kuogopa au kulia kiasi chote.Mshukuru Mungu, mshukuru sana.
Mabinti wengi wa umri wako wameshavua nguo zao kwa watu wengi na ndoa hamna.Hivyo kwa uaminifu wako wa kujitunza, you have to be proud of.Mpo wachache sana wa aina yako na hili ni jambo lakujivunia, wala usihuzunike.

Cha kuzingatia saivi ni kuendelea na maisha yako kawaida.Pambana kazini na ujijenge.Kuwa na marafiki wakufurahia nao maisha.Ndoa itakuja tuu dada yangu wala usiharakishe.

Nikutakie kila la kheri.

Angalizo: Hili bandiko litawaleta watu pm, hivyo uwe makini.Wanaweza wakaja fisi wakiwa na ngozi ya kondoo.
 
Kwa mengine kama kuolewa na mtu alie tawanya mbegu zake kwa kuzaa hovyohovyo kila mtoto na mama yake hapo fresh upo sahihi kumwagana lakini kuhusu dini na kuonjana aysee ujirekebishe

DINI
Sio siri hakuna jambo linalo nichukiza kama kuachana na mtu sahihi na mliopendana eti kisa utofauti wa dini

Hivi nikulize kwani lengo unataka mzae mtume au yesu

Tambua upendo ndio nguzo katika maisha ya ndoa mengine ni ziada tu kama kachumbari kwenye pilau

Na sidhani kama kuna ukoo ambao wana ukoo wote ni dini moja walio wengi unakuta kuna wapagani, wakristo na waislam halafu still undugu bado upo palepale

KUONJANA
Aysee kuonjana ni swala la muda na ujanja wa mwanaume kufahamu udhaifu wa manzi

Binafsi hata ukija na misimamo ya boko haramu yaani nikishajua madhaifu yako tu hata sito tumia nguvu ntakuandalia mazingira tu then naonja mzigo kiulaini
 
Mi siwezi kurudi kwa kijana nikipata mtu mzima natulia ka maji mtungini maana ka nikuruka sharuka na kila size na sioni jipya kabisa.
Aliyekutoa bikra ndiyo mume wako halis acha ujinga
 
Huyo Dada anatuchora akili tuu, kwanza huyo na kuja kwake kuomba ushauri hadi huku, Ni waze yeye si bikra na anajua utamu wa dudu.
 
(siamini katika sex before ndoa). Kwa hiyo we bikra
 
trust me hii haikua sababu ya mm kuanza nae mahusinao..kwanza wakati nipo nae alikua ametoka training kachoka...kama hela anazo sasa hvi

thank you Dabby for passing by...how i wish nijitaje jaman![emoji3][emoji13]
Wewe kama sio dada nanii wewe?
 
Hahahhaha Samboko inamaana huyu angenasa kwenye rada yako ungemaliza match mapema saana kwa ushindi?
 
Mi siwezi kurudi kwa kijana nikipata mtu mzima natulia ka maji mtungini maana ka nikuruka sharuka na kila size na sioni jipya kabisa.
Utu uzima si kigezo pekee cha kumfanya mtu awe na utimamu wa akili, hekima pamoja na busara tukubali kwamba katika jamii zetu wapo watu wazima wengi wasio na Busara na utulivu wa akili ambao Huishi maisha ya ujana na yasiyomfano mzuri kwa jamii ambao kwao mapenzi ni kit cha ziada Rai yangu ni kwamba Utu uzima wa mtu awe kijana ama wa makamo haupimwi kwa kigezo cha umri tuombe sana mungu atupe wa kufanana nao na tuyafurahie maisha yetu
 
Yaani nidate na demu amekiri hapa ashaachia sana mm et nicpewe nkikuta sio bikra taraka yako hats tamasha la wasafi dogo mtwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…