Yaani wewe pekee ndio umeelewa shida ya mtoa madaKubali hali mmeachana, kukubali hali inasaidia uambie moyo wako you and him ts over hakuna kingine pingana na akili yako na moyo wako kila linapokuja swala kuhusu yeye
Jichanganye na watu, jipende focus na maisha yako mtu sahihi atakupenda vile ulivyo usifos kitu ambacho kitakuja kukucost baadae sababu moyo na akili havitaki
Usipende kua alone muda mrefu jaribu kua na watu,jikeep busy jipe trips uifrahishe nafs najua kama mwanadam swala la mapenzi haliepukiki lakini utafika muda wake na mtu sahihi
Hold on Allah hasnt finished with you yet!
hahaha kwa nnYaani wewe pekee ndio umeelewa shida ya mtoa mada
Nataka nimjue mleta mada maana kasema yeye ni muhenga humu.Huu mwandiko mbona kama uko familiar vile
Yaani sijui tukwambieje mdogo wetu. Ni kwamba siwezi kueleza hata wewe huwezi kuelewaWanawake hivi ni kweli huwa mnaamini kwenye akili zenu wanaume waliowazidi umri hasa mkubwa ndiyo wazuri kwa mapenzi kwasababu wametulia au ni sababu za kiuchumi?


Kama kweli umedhamiria utaweza.Aisee... Tunaendana kabisa... Mimi mwenyewe sitaki kufanya hadi ndoani
hahaha kwa nn
Salam bikira![]()
Ha ha ha ha nasubr nnaemuhs acoment akipita tu hapa namfata pmNataka nimjue mleta mada maana kasema yeye ni muhenga humu.
Akijichanganya na ID yake ya siku zote akiwa anasoma comments nitamjua tu
Haya dada zangu ila mnajua Nzi akiacha ujinga atatengeneza asali?Yaani sijui tukwambieje mdogo wetu. Ni kwamba siwezi kueleza hata wewe huwezi kuelewa
Ngoja ninyamaze nisije nikavujisha mbinu zanguHa ha ha ha nasubr nnaemuhs acoment akipita tu hapa namfata pm




Sorry are you a virgin?Maana isijekuwa unaweka masharti mengi ya hivyo kumbe watu washatoboa.Utamkera muoaji.Kwa masharti hayo aliyekutoboa akuoe.