DADA YENU MAPENZI YAMENIKABA KOO

DADA YENU MAPENZI YAMENIKABA KOO

Dada shikilia msimamo wako huo huo me nilisomaga ma ushauri ya huku ooh unabania bania nn kiliwe na nyerere hatimaye nkaachie wakt namaliza chuo mwaka wa tatu

Ila me nashukuru wa kuoa wanajitokeza wengii tu na hao wakuoa ndo ata hawajanionja
Hahah kwa hiyo wanaonja wengine....waowaji wanakuwa ni wapenz watazamaji?
 
Dadahuyu Hongera sana sana kwa kujitunza na tafadhali kuwa na msimamo huo huo. Mungu anakuletea mitihani hii na ile na shetani nao anakuzengea utende dhambi kabla ya ndoa. Sasa cha kufanya ni hivi? Kwanza hao wote waliokutaka utoke nae kimapenzi kabla ya ndoa ni mafirauni tu achana nao. Kutoka kimapenzi ni kuuza utu wako Msemo huu wa kwamba kutokuuziwa mbuzi kwenye gunia ni msemo wa vijiweni tu..... na ukiona mwanaume anaunukuu huo msemo kwa ajili ya akule tu tunda mkimbie umbali mrefu maana hana mapenzi ya kweli, sisi wanaume tukigundua kuna udhaifu mdogo tu kwenye kugegeda basi demu tunamtosa na kumkibia tena kwa masimango siku ya pili tu. Dada yangu acha kuogopa maisha, usitafute mwanaume ambae amechoka (unavyowaita wame settle) tafuta hata kijana ambae ni mshika dini kama wewe walau anamiliki meza ya kuuza nyanya hata sokoni tu. Umri unakwenda na hao unaowaita walo settle wana mambo 100 kidogo, Kuna siri kidogo nyuma ya bazia ya kwanini wamama wakina mama diamond, wakina shilole na wengineo wanatafuta vijana wadogo wasio na mbele wala nyuma wengine hata kukoga tu hawajui? Katika Uislam bibi Khadija alitoa mahari kumpa Mtume Muhammad amuoe unajua ni kwanni? unajua Muhammad alikuwa na umri gani na Khadija alikuwa na umri gani wakati huo? ni funzo Mungu anatupa. Usijaribu kutafuta vilivyokwisha undwa, dada yangu pambana unda chako mwenyewee. Mungu amekuepusha na mitihani kwa hao wanaume sasa tafuta cha kwako, nenda sokoni, madukani kwa wauza mitumba na sehemu zengine, peleleza, uliza mpaka upate chako mwenyewe unakitengeneza from zero, from scratch hapo ndio utaona utamu wa ndoa.
Best advise ...
 
Watu wazima wanao jielewa kwa kila jambo. Kuna wenye 60 still Wana act ka wako balehe hao sio watu wazima. Majority ya watu wazima wako matured in every sector compare na vijana. Hafu nyani mzee kakwepa mishale mingi sana. So mi Hu choose wisely and carefully
Utu uzima si kigezo pekee cha kumfanya mtu awe na utimamu wa akili, hekima pamoja na busara tukubali kwamba katika jamii zetu wapo watu wazima wengi wasio na Busara na utulivu wa akili ambao Huishi maisha ya ujana na yasiyomfano mzuri kwa jamii ambao kwao mapenzi ni kit cha ziada Rai yangu ni kwamba Utu uzima wa mtu awe kijana ama wa makamo haupimwi kwa kigezo cha umri tuombe sana mungu atupe wa kufanana nao na tuyafurahie maisha yetu
 
Hold on!!, wait a second [USER]Heaven Sent[/USER] kwani huyu ni wewe? Mbona anatumia alama sana kama wewe? Yaani mkato na nukta. Nimewaza tu [USER]Dadahuyu[/USER] bado nakutafuta kwenye kila like iliyotolewa huku ntakujua tu labda huu uzi usiushiriki tena
 
Mpaka hapo haujalijua tatizo lako ni nini?Ukiona watu wanavyo-bet michezoni ndiyo utajua tatizo lako limelalia WAPI hasa.
 
First accept reality then calm down and wait for the next man of your dream....
 
Habari za weekend wanajamvi..

Mimi ni member mzoefu,nmeona nitumie ID mpya ili niwe huru zaidi kujielezea...nmefikwa kooni nahitaji ushauri

Mm ni mtu mwenye msimamo wa dini na nina misimamo yangu ya maisha,nashkuru Mungu nimesoma vzuri na nina kazi nzuri... (sio slay queen)..Anyways,,binafsi kwa mara ya kwanza kabisa nmeanza kujihusisha na mahusiano nilikua chuo mwaka 2 kuingia wa3...(field),,,Nilikutana na kijana na hapo ndio ilikua mwanzo wa mahusiano na mwanzo wa hata ku-kiss
Mahusiano yale yalidmu miezi kadhaa na nliyaacha baada ya kugundua yule mwanaume hakuwa wa dini yangu (alinidanganya dini)...na mm mtu wa hvo naona hatutafika mbali na mm sipendi kua na mahusiano yasio na future....uzuri ni kwamba sikusex nae

Sikujihusisha tena na mahusiano mpka nkamaliza chuo,nkawa kitaa nasaka ajira...nikakutana na mkaka wa makamo,,nikaona at least huyu age yake imeenda labda kweli anataka ku-settle down...
tulikaa kwenye mahusiano kwa muda wa miezi kama 7..huyu kaka nilimkuta na watoto wawili wa mama tofauti...mama wa mtoto wa kwanza alishaolewa,ana familia yake..mama wa mtoto wa pili walikua wameachana na huyu kaka alikataa mimba (kwamba hawakua na makubaliano ya yule dada kubeba mimba ila m.ke aliilengesha)...

Ukweli huu alinambia mwanzo kabisa akiwa ananitongoza,,basi me nkajua ntaweza yavumilia,,mahusiano yetu yalikua mazuri lakini likija swala la kuombwa mechi me nkawa nakaza..jamaa akawa ananiambia sasa tutakuaje kimahusiano kama kaka na dada?!,,,nkamwambia mm siwezi kulala na wewe... (siamini katika sex before ndoa)...akawa ananambia inabdi kwanza nizae au kama nikunioa basi niwe na mimba ila yeye hawezi uziwa mbuzi kwenye gunia...tuliendaaaaa ikafika point nkaona kabisa haya mahusiano nayalazimisha!,basi kila mtu akashika shughuli zake...

Akawa ananitafuta siku moja moja (hakutaka kuamini kweli naweza mkatalia kusex),basi tukionana hakuna jipya msimamo wangu ni ule ule..

Nkapata kazi nkapangiwa mkoa wa mbali na jamaa,,mawasiliano yetu yakaena yakawa yanafifia kabisaa..ila akawa kila akija mkoa niliopo ananitafuta (nature ya kazi yake anasafiri sana)..

Nkamwambia yaan wew siku zote huniuliziagi ila mpaka uje huku...anazuga na sababu zisizo za msingi..

Siku moja nkaona amepost picha ya mtoto (nikajua ni yule mtoto aliemkataaga),,kama vile wameelewana na yule mzazi mwenzie...basii siku aliokuja mkoa niliopo,,nkamuuliza akasema mm nmefata mtoto ila yule mwanamke sijarudiana nae...lakn yule mwanamke anacoment kabisa kwenye picha zake mara mume,mpenzi,kiboko yangu n.k....ikifika birthday ya m.ume mdada atajishughulisha cake na mazawadi kedekede...

anakuja huku nilipo anakataa hawajarudiana ila inta unaona yule mwanamke na the guy wameenda trip zanzbr na mtoto...hio siku nikanyanyua mikono juu nkasema hapa sina hata matumaini..nkawa mkali kwa jamaa nkamwambia tafadhali naomba ukija huku nilipo fanya yaliyokuleta usepe...nkawa mkali...nkafuta namba zake...akawa hata akinitext whatsapp simjibu!

sasa nkakaa kama miezi 8 au 9..nkajaribu mahusiano mengine...nafs yangu inakua ngumu kumuamini mwanaume tena!,naona uongo umezidi kiasi kwamba huyu mwanaume akanambia mm sionyeshi kumpenda na sina feelings nae (kilichoni dissapoint kwa huyu kaka ni na yeye ana watoto na hakuniambia before...)na mm nkapunguza mawasiliano na last week tukaachana kabisa..baada ya kujua ana watoto mzuka ule wa mahusiano ukafa..sitaki baby mama dramas

Nafsi yangu kusema ukweli ilimpenda sana sana sanaa huyu kaka mwengine ambae amaerudiana na baby mama wake (na hawaezi oana dini mbalimbali kabisaaaa),,...ila mwanamke sa hvi ni mjamzito anazaa mtoto mwingine baada ya miaka 8

Nafsi yangu ina maumivu makali sana jaman,nifanyaje nisahau na niweze move on?,!,yaan nmeshalia sana sana kwa Mungu wangu,kumuomba aniwezeshe nisahau jaman...

Nisaidieni wanajamvi..ni kweli kabisa siwezi pata mwanaume atakaekubali mvumilia mwanamke mpka amuoe?!,, Nahisi subira yangu ya kujitunza uanamke wangu inanishinda (Im 26 now)...,

Na pili huyu mwanaume namtoaje akilini jaman?!...

NB::: comments ntazisoma kupitia account yangu ya kawaida hapa nimemaliza...nmetumia hii ili nijimwae mwae...
Karibu mgeni!!!
Screenshot_20181125-064837.jpeg
 
Wewe una matatzo endelea kutunza papuchi hata kunguni wanaweza kukusaidia kuitumia
 
Afu hawaelewi pesa ni mwanzoni tu , ukishaanza kupendana wala huwez kumchuna ila unampenda yeye kama yeye.....na kama akikuchukulia poa kisa pesa zake unaliacha tu
Mahusiano ni zaidi ya pesa
Wewe ndio Dadahuyu...
 
hapo ndio maana halisi ya mapenzi hayana formula-JIWE mwenyewe yalimshinda na ubabe wake
 
Kwa hiyo una bikra na hiyo bikra itatolewa siku utayo olewa?
Weweeee jiangalieee
 
Back
Top Bottom