DADA YENU MAPENZI YAMENIKABA KOO

DADA YENU MAPENZI YAMENIKABA KOO

Naomba unambie wew dini gani? na kama ni mkristo dhehebu gan?
Hapo nitajua undan wa story yako
Mm pia ni mwanamme mshika dini sana
 
Pole sana wanaume wapo, ila unatakiwa kuwa na subira. Nichek kwnye no hii 0655756336
 
Kwanini unabania papa? Unajua unaweza kuolewa na bikra yako na bado ukasalitiwa mimi nilishavunja bikra 4 ila ule usumbufu nilioupata niliapa sitokuja kutafuna bikra tena, ilikua nikishagundua tu kuwa huyu ni bikra nampotezea.
 
Nadhani haka ni kasababu kadogo.
Ni sababu kubwa tuu, vijana hapo hata hamjazoeana vizur malalamiko kibao eti mbona hupigi simu kila siku mpaka nikuanze khaaaaa inshort ni kero tupu
 
Ni sababu kubwa tuu, vijana hapo hata hamjazoeana vizur malalamiko kibao eti mbona hupigi simu kila siku mpaka nikuanze khaaaaa inshort ni kero tupu
Jibu swali la dini yako basi...
 
Ni sababu kubwa tuu, vijana hapo hata hamjazoeana vizur malalamiko kibao eti mbona hupigi simu kila siku mpaka nikuanze khaaaaa inshort ni kero tupu
Ila wanawake wengi hampo tayari kuanzia chini na vijana wenzenu...sizungumzii wewe 28 na yeye 28.

kila kilicho na msingi huwa imara...biashara, nyumba,elimu, n.k
 
Back
Top Bottom