Dada yangu stuka, umri unakutumpa mkono

Dada yangu stuka, umri unakutumpa mkono

MANENO yako yana buibui walahi Maana unatuletea zilipendwa!
Uchafu mtupu umeandika walahi!
Kwani kuolewa ni lazima, pathetic DNA walahi
 
MANENO yako yana buibui walahi Maana unatuletea zilipendwa!
Uchafu mtupu umeandika walahi!
Kwani kuolewa ni lazima, pathetic DNA walahi

Sio lazima ila muhimu.. ni stara na vazi jema kwa mwanamke
 
MANENO yako yana buibui walahi Maana unatuletea zilipendwa!
Uchafu mtupu umeandika walahi!
Kwani kuolewa ni lazima, pathetic DNA walahi

Sio lazma ila muhimu.. ni stara na vazi jema kwa mwanamke anaejielewa.
 
Kwani lazima kuolewa mkuu?
Mi nashangaa sana,
Kama mwanamke unajiweza kiuchumi kwanini upate stress za kuewa?

Si utafute mtoto wako mmoja au wawili usogeze maisha yako??
 
Maisha ni kuchagua sio lazima wote waolewe... Na michepuko tutaipata wapi? Utaoaje mdada mzuri wengine tupige wapi? Imagine mtu angemuoa Sepetu Wema akiwa kwenye pick yake wadau kina Idrissa, Diamond and the like wangekula wapi? Hebu waacheni warembo wetu
Hahahaha sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom