Dada yangu na boss wake

duh .....wasi wasi dada keshamegwa huyo!

jamani kazini kuna watu wabaya.....HUH! .....kukuvunjia ndoa hawaoni tabu hata kidogo. wanawake tuwe na akili, unataka kuwa role model gani kwa mwanao? shame on all materialistic women.

G nisamehe bure hapa!!! wabaya sisi wenyewe kwa hiyari yetu tuna-intertain hizo bullshit!!! ndoa tunazivunja sisi wenyewe kwa tamaa zetu na upumbavu wetu !!!

hapo hujalazimishwa wala kufungwa kamba ukubali!!! sijaona hata mahali boss kamtishia kuwa atamfukuza kazi bali kampa na muda w akufikiria (sioni cha kufikiria hapo, ni kam tu amemkubalia na nahisi walishaanza kuonjana maana mtu mzim aiweje usihisi huyu mtu ana nia ani na wewe?)

huyu mwanamke ..........aghrrrrrrrrrrrrrrrr!!!
 
Weeeee! Sio wife bana......nasema kama ndo mm boss Wa kike anatoa matumizi ya maana....mi nampa joto tu. Kwani nn! Lakini kama ni wifey ya mm, kudadadeki labda nisijue.....coz nitamtafunia mkewe pia na lama Ana vitoto vya kike vikubwa natafuna vyote.alafu naachukua ushahidi kote na ninampelekea ajue nimeharibu mkewe na wanawe period.

kumbe muoga eeh!!!

sasa B vitoto unavionea jamani, kosa la mdingi ndo uwaadhibu watoto kweli???

nimefika millenium tower on my way to samaki samaki!!!
 
hahaaaa unakuwa umekula 'koktail' ya gongo, wanzuki, banana, komoni na ulanzi!!! hahahaa!!

Na wewe hayo mapombe machafu umeyajulia wapi?

Otherwise, do you disagree with what I wrote? Be honest if you think what I said is nonsense.
 
ahaaa nyie ndo wale mnafanya kazi siku mbili tu za juma eeh!!!

afu na wewe mi nianze kubuguia hizo kitu na jua lote hili.........ndo maana unasahau hata misa inaendeshwaje!!!!

vipi wewe unavumilia mamsapu kuyafanya hayo kweli na ule wivu wako kam jogoo umeishia wapi siku hizi?

Ngoja niwe nutral hapa....unaweza ukawa mkali humu kumbe watu wana-do zw needful kama kawa. Mi Nora nisijue bana.....nikijua tu lazima mkewe au yy mwenyewe aliwe. Na wife anapata onyo kali....au suspended ili wakamalizie Kabisa akiwa hayupo kwangu.
 
bht huyu mwanamke akishakubali gari na kulala na bossi wake tafadhali aje atueleze tofauti yake na wale wanaosimama kitaani usiku kutafta wanunuzi......for real
 
Weeeee! Sio wife bana......nasema kama ndo mm boss Wa kike anatoa matumizi ya maana....mi nampa joto tu. Kwani nn! Lakini kama ni wifey ya mm, kudadadeki labda nisijue.....coz nitamtafunia mkewe pia na lama Ana vitoto vya kike vikubwa natafuna vyote.alafu naachukua ushahidi kote na ninampelekea ajue nimeharibu mkewe na wanawe period.

Huo uchoyo sasa. Sijaona sehemu uliyosema unatupasia mpira makamanda wenzako tukusaidie kumtia joto. Kizuri kula na nduguyo. Kisasi lipiza na nduguyo.
 
bht huyu mwanamke akishakubali gari na kulala na bossi wake tafadhali aje atueleze tofauti yake na wale wanaosimama kitaani usiku kutafta wanunuzi......for real

Atakuwa hana tofauti kabisa na wale wasimamao pale nje ya Mande guest house Kinondoni.....stupid bitch
 
kumbe muoga eeh!!!

sasa B vitoto unavionea jamani, kosa la mdingi ndo uwaadhibu watoto kweli???

nimefika millenium tower on my way to samaki samaki!!!

Karibu......ukikuta kajamaaa flani kamezungulwa ma mademu weeengi ndo mm.
 
Ngoja niwe nutral hapa....unaweza ukawa mkali humu kumbe watu wana-do zw needful kama kawa. Mi Nora nisijue bana.....nikijua tu lazima mkewe au yy mwenyewe aliwe. Na wife anapata onyo kali....au suspended ili wakamalizie Kabisa akiwa hayupo kwangu.

hapo tu ndo nakupendeaga......sober or drunk, busara yako iko pale pale!!!
 
bht huyu mwanamke akishakubali gari na kulala na bossi wake tafadhali aje atueleze tofauti yake na wale wanaosimama kitaani usiku kutafta wanunuzi......for real

Teh teh atatuambia yeye ni spefic partner na wanafanya kwa maslahi ya pande zote mbili; kwa boss ambaye mkewe halipi sasa ana kitu roho inapenda na kwa dada ambaye shemegi hana mshiko hivo boss anasawazisha gap! Mtakufa mpaka mwishe na tamaa zenu! Hivi akijikuta kashajipaka upu[pu na kumpaka mtoto wa watu bwana shemeji atajisikiaje?

Naanzisha kampeni ya kuwanyonga watu wa aina hii!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom