Dada yangu na boss wake

Ungekuwa huna uwezo wa kuwa na lako usingelikubali?

Umeonaaaeeee!!

Anywayz......kama ingekuwa mwanaume ndo anahongwa na boss mwanamke ingekuwaje? Tehe tehe
Mi gari ningechukua, safari ningekwenda na shughuli nampa ya maana Tu......then naomba TiGo au nalazimishia. Akigoma namwambia basi bana....mi huko ndo napapenda zaidi coz huku mbele hata my wifey anayo na nitamu sana Tu.
 
Hayo mambo ya kawaida hapa Dar! Mkeo ananunuliwa gari anakwambia nimekopa SACCOS na nimedunduliza hela ya safari kumbe ni chakula ya Ma-director! Na kwakweli wanawala wake za watu kwa kwenda mbele - kubali au kataa - ni shauri yako! Nawafahamu wengi sana na mara nyingi sana ninakutana nao (Ma-Director na wake za watu). Zunguuka baa za uswahilini na uone kinachoendelea. Unadhani haya magari yaliyojaa mjini yanatoka wapi ? - Ujasiliamali kweli - all of a sudden mji umefurika magari - 40% ni ya kuhongwa

Kwa Tanzania UKIMWI utaisha kwa NEEMA za MUNGU tu - Ni mfumo wa maisha na unatumaliza indeed!

Amani iwe kwenu

Kwani hawa waume zao hawawezi kuwanunulia yaho magari??

Kweli hizi ni siku za mwisho
 
Umeonaaaeeee!!

Anywayz......kama ingekuwa mwanaume ndo anahongwa na boss mwanamke ingekuwaje? Tehe tehe
Mi gari ningechukua, safari ningekwenda na shughuli nampa ya maana Tu......then naomba TiGo au nalazimishia. Akigoma namwambia basi bana....mi huko ndo napapenda zaidi coz huku mbele hata my wifey anayo na nitamu sana Tu.

Sasa nawee yule mhudumu pale MARANGU NIGHT PARK amekukamata mpaka unaibuka mida hii sredi inaelekea ukingoni?

Anyway: Mi naomba Mungu nipate bahati ya kulipata jimama lenye mipesa linihonge migari ya kufa mtu. Mi nakatika na lenyewe linakata. Ngoma droo, maisha mafupi lakini matamu yanasonga mbele.
 
Akikupa??

Unaweza kukuta ye ndo anapenda zaidi yako na alikuwa anaona haya tu kukuanza
 
Jamani, hata ukiangalia hiki kitu sio cha siku moja wala mbili, it has been going like that for months/years... na kwa mtazamo wangu hafifu (sio 20/20) huyo bosi tayari ana mahusiano na huyo sis wako... Hivi mtu anaweza kutoa gari la bure bure hivi jamani?? siamini!!

Akili yako inafanya kazi vizuri sana, BOSS kishajidai katika maeneo ya 18 na sasa anafanya mavitu yake ili kumdhibiti mtoto vizuri. Unanunuliwa gari na kukabidhiwa funguo na mwanaume mwingine hujui ufanye nini na inabidi uombe ushauri kwa watu wengine? Ndoa imeshaingia doa.
 
Uwezekano mkubwa tayari wana mahusiano ya ngono sasa yamefika mbali hata kupewa gari na si ajabu shemejio kashashtuka ndio maada ccta yako anatafuta kuonewa huruma kwa yatakayompata. Cha kumshauri ni kwamba aache mara moja hayo mahusiano na hata kama ni kazzi apoteze. Kwa kumsaidia zaidi mfuate huyo boc wake mweleze issue imefika kwa mwenye mali na aachane mara moja na mke wa watu.
 
Kwa kweli kama dada yako amepokea hilo gari kafanya makosa.Hata hivyo,vitu alivyopewa kabla jamaa hajamtamkia intention yake kwake havina noma.Issue ni kama ameendelea kumuendekeza huyo boss hata baada ya kumjua anachokitaka

Ningemshauri tu aache tamaa.Hata kama ataaachana na mume wake,still maisha yake yatakuwa yameharibika.vipi maslahi ya watoto?Na haoni kuwa anajitafutia matatizo makubwa kimaisha kwa kujiingiza kwenye uhusiano nje ya ndoa?

Mwambie dada yako amtamkie waziwazi kuwa anashukuru kupendwa lakini ana ndoa yake anayoijali sana,na zaidi ya yote ana watoto ambao amezaa ndani ya ndoa.kwa hiyo kama huyo Boss ni mstaarabu hataendelea tena kumsumbua
 
Umeonaaaeeee!!

Anywayz......kama ingekuwa mwanaume ndo anahongwa na boss mwanamke ingekuwaje? Tehe tehe
Mi gari ningechukua, safari ningekwenda na shughuli nampa ya maana Tu......then naomba TiGo au nalazimishia. Akigoma namwambia basi bana....mi huko ndo napapenda zaidi coz huku mbele hata my wifey anayo na nitamu sana Tu.

Kamanda igeuze scenario ya hii kuwa ni mkeo!

Unajisikia inavyonoga utamu wakee eeh?:angry:
 
Ni jana tu kanisimulia alianza kwa kumpa safari za kila mara, akamuongezea bonus zake, short cause kwake hazikauki dada akawa haelewi kuna nini. Mwisho wa yote akamtamkia live na akamwambia anampenda na wala acwe na haraka yakujibu aende akafikiri akiwa tayari atamuambia jana akanunuliwa gari na amekabidhiwa ufunguo na kadi yake, dada yangu ameolewa na ana familia nzuri ya watoto 2 na mume wake anafanya kazi ya kwaida tu ya kuajiliwa ktk kampuni binafsi, ila kwa muda mfupi maisha yamependeza. wana JF nisaidie nimshauri vp? huyu dada yangu? yuko njia panda ndoa anaipenda na anampenda mume wake ila boss anawawezesha

Hapo kwenye Red ndiyo mambo yote yako hapo.
 
Hayo mambo ya kawaida hapa Dar! Mkeo ananunuliwa gari anakwambia nimekopa SACCOS na nimedunduliza hela ya safari kumbe ni chakula ya Ma-director! Na kwakweli wanawala wake za watu kwa kwenda mbele - kubali au kataa - ni shauri yako! Nawafahamu wengi sana na mara nyingi sana ninakutana nao (Ma-Director na wake za watu). Zunguuka baa za uswahilini na uone kinachoendelea. Unadhani haya magari yaliyojaa mjini yanatoka wapi ? - Ujasiliamali kweli - all of a sudden mji umefurika magari - 40% ni ya kuhongwa

Kwa Tanzania UKIMWI utaisha kwa NEEMA za MUNGU tu - Ni mfumo wa maisha na unatumaliza indeed!

Amani iwe kwenu

I wish this wasnt the fact....................
 
Nashukuruni kwa ushuri wenu wana JF ila kuhusu kutembea naye au kuwa na uhusiano naye hakuniambia yeye kasema anamtaka ndo mana anatoa marupurupu yote hayo labda ameweka kapuni ila nita mfikishia ushauri woote nilioupata hapa nawashukuruni sana japo me mdogo kwake lkn kwa ushauri huu nilioupata hapa i hope atanisikiliza tu
 
Sasa nawee yule mhudumu pale MARANGU NIGHT PARK amekukamata mpaka unaibuka mida hii sredi inaelekea ukingoni?

Anyway: Mi naomba Mungu nipate bahati ya kulipata jimama lenye mipesa linihonge migari ya kufa mtu. Mi nakatika na lenyewe linakata. Ngoma droo, maisha mafupi lakini matamu yanasonga mbele.

chris jamani unakatisha tamaa, nwy ngoja tu ninyamaze mana tukianza kulumbana hapa tutakesha.
 
Mr man, Ben na Mchili I conquer with you!

Baba Askofu watu wameacha kumwogopa Mungu wacha tuwachape Bakora kidogo wajue kuwa yupo Mungu juu ya wanadamu; Masihi aliwafukuza si ajabu na kuwachapa wafanyabiashara hekaluni.

Contract ya kwanza kwa Boss ni kumuwinda my wife yake! ya pili kumpa kisago cha mbwa mwizi kimya kimya; maana dada bado tunamtaka
 
Back
Top Bottom