Dada yangu na boss wake

:target: Jamani nyuchi hazina shombo, Sister mwambie dadiyo agawe mzigo achukue gari na box + udongo tani sita. Jamani haina shombo hiyo na jamaa tachovya mara moja tu; tatizo umeme una voltage na current kubwa kwa kila hali hivyo kuikwepa ni muhali.

Sijui kama tutafiaka lakini Lazima tufike tukiwa hai au wafu. Wake zetu na mali kama mbwa na chatu.
 
Sijui kama tutafiaka lakini Lazima tufike tukiwa hai au wafu. Wake zetu na mali kama mbwa na chatu.

Do kwi kwi kwi yaani hapo kwenye nyeusi....wanakwenda huku wanaugulia! teh tehte

eeeh Mungu zinusuru ndoa zetu!:angry:
 
Jamani mtu mzima cyo lazima uambiwe kila kitu maelezo yanajitosheleza kabsaaaa!!
shemeji yetu tayari keshamegwa ndo maana kaka alitoa gari!!! embu atoe namba za mme wake hapa chap chap tatizo liishe chap chap coz inatia huruma sana kwa mme wake!!!
USHAURI NI KWAMBA KATUPE FUNGUO ZA GARI YA KAKA YETU PALE MEZANI KWAKE NA UMUONESHE KWA KIDOLE GARI YAKO ILE PALEEE UKIWA UMEZIBA NA PANCHA ZOTE!! ALAFU UENDELEE NA KAZI UCKIE ATAKUAMBIA NINI KAMA AKIBOFONGA OVYO MWAMBIE BWANAEE KAMA NI KUNILA UMENILA VYA KUTOSHA NA MME WANGU KESHASHTUKA SO KAMA NI KAZI NITEME ILA CARGO TENA UPIGI NINUNUA CHUPI YA BATI! KUOKOA NDOA YAKO OTHERWISE U WIL BE FIRED SNEST...
 
Possibly boss muathirika....otherwise he won't be so desperate. If in her place will take the car and leave the company :)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom