Dada yangu na boss wake

chris jamani unakatisha tamaa, nwy ngoja tu ninyamaze mana tukianza kulumbana hapa tutakesha.

Maisha haya mafupi afu upate opochuniti kama hizo afu niziache nichekwe? Mbona kina eliza tunawamega then tunawalipa? Si heri tumege afu tulipwe familia zetu zifaidike na mapigo yetu? Sikukatishi tamaa luv.
 
Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana.
Ninatubu kwa Mungu na kwako Baba askofu.

Hapa Naina kama pasaka ulido ze needful.....mi sikumbuki haya maneno ya kumunyo ya kwanza Bana.

Ile mashine ya fide bana.....mi napelekaga salamu tu. Watu weweee Marangu bana.
 
hahaaaa kweli mlikuwa na sabau ya kutoka seminarini lol!!!
hivi hayo ni maneno ya komunyo ya kwanza au sehemu ya misa hiyo jamani Bigirita, uko wapi saa hizi??
 
Mr man, Ben na Mchili I conquer with you!

Baba Askofu watu wameacha kumwogopa Mungu wacha tuwachape Bakora kidogo wajue kuwa yupo Mungu juu ya wanadamu; Masihi aliwafukuza si ajabu na kuwachapa wafanyabiashara hekaluni.

Contract ya kwanza kwa Boss ni kumuwinda my wife yake! ya pili kumpa kisago cha mbwa mwizi kimya kimya; maana dada bado tunamtaka
Kule wamekabania, kamata kwa hapa:

Ze folowing uza sei Senksi tu yuu Maskini_Jeuri fo zis yuziful post; Chrispin

Hapa Naina kama pasaka ulido ze needful.....mi sikumbuki haya maneno ya kumunyo ya kwanza Bana.

Ile mashine ya fide bana.....mi napelekaga salamu tu. Watu weweee Marangu bana.
Hahaha! Natembea na Misale ya Waumini. Nikifogeti kalirtujia naikonsalti as suun as posibo. Nasikia pale Marangu ukiongea kiromboo unapewa nyoneza ya mbavu kazaa.... Hahahaha!
 
Boss anawazesha!ina maana gani mumewe anajua? Kwa kweli hapo ndipo unapotambua hakuna maana ya kuoa siku hizi wanawake tamaa zimewajaa hakuna mtu anakupa kitu kisichokuwa na malipo.Dalili za mvua ni mawingu.Bora huyo dada alinde ndoa yake aache tamaa siku hizi magonjwa kibao atakuja kujutia siku moja watu wanatembea ila wagonjwa ohoooooooooooooooooooooo!
 
Maisha haya mafupi afu upate opochuniti kama hizo afu niziache nichekwe? Mbona kina eliza tunawamega then tunawalipa? Si heri tumege afu tulipwe familia zetu zifaidike na mapigo yetu? Sikukatishi tamaa luv.

Mkuu, hiyo mbona project Kabisa?.......kitu kinaingiza feza si sawa na kuwa na bar tu. Na wamama hawa kama mambo iko njema home whawawezo hata kuhisi kitu. Gari ya maana, kwenye friza full mambuzi, mang'ombe, masato, mamdudu, site hapgombi.......weeee! Utajilia boss mpaka siku ya kiama.
 
chris jamani unakatisha tamaa, nwy ngoja tu ninyamaze mana tukianza kulumbana hapa tutakesha.

yaani huyu kweli unaweza kulia hapa na wala asikuhurumie wala kuonesha anakuelewa (makusudi tu )
 
Ni jana tu kanisimulia alianza kwa kumpa safari za kila mara, akamuongezea bonus zake, short cause kwake hazikauki dada akawa haelewi kuna nini. Mwisho wa yote akamtamkia live na akamwambia anampenda na wala acwe na haraka yakujibu aende akafikiri akiwa tayari atamuambia jana akanunuliwa gari na amekabidhiwa ufunguo na kadi yake, dada yangu ameolewa na ana familia nzuri ya watoto 2 na mume wake anafanya kazi ya kwaida tu ya kuajiliwa ktk kampuni binafsi, ila kwa muda mfupi maisha yamependeza. wana JF nisaidie nimshauri vp? huyu dada yangu? yuko njia panda ndoa anaipenda na anampenda mume wake ila boss anawawezesha

kama kakijipande ka tamthilia za kifilipino vile.
 
Mkuu, hiyo mbona project Kabisa?.......kitu kinaingiza feza si sawa na kuwa na bar tu. Na wamama hawa kama mambo iko njema home whawawezo hata kuhisi kitu. Gari ya maana, kwenye friza full mambuzi, mang'ombe, masato, mamdudu, site hapgombi.......weeee! Utajilia boss mpaka siku ya kiama.

yeomiii!!! mke kitega uchumi!!
 
hahaaaa kweli mlikuwa na sabau ya kutoka seminarini lol!!!
hivi hayo ni maneno ya komunyo ya kwanza au sehemu ya misa hiyo jamani Bigirita, uko wapi saa hizi??

Mshiki mshiki.....unataka kujua nilipo? Haya mi nipo samaki samaki. Njo upate castle lite bardiiii!
Najua xpin hapo atatokwa na udenda. Mi wend ilianza Jana.
 
Mkuu, hiyo mbona project Kabisa?.......kitu kinaingiza feza si sawa na kuwa na bar tu. Na wamama hawa kama mambo iko njema home whawawezo hata kuhisi kitu. Gari ya maana, kwenye friza full mambuzi, mang'ombe, masato, mamdudu, site hapgombi.......weeee! Utajilia boss mpaka siku ya kiama.

Hahahaha! Mzee naona umemwaga vyointi vya kufa mtu.

Hapo siongezi wala kupunguza neno.

Manake waifu home anaona vitu vinaingia kwa wingi, mabadiliko ya kufa mtu ye anajua hardworking husband wake amekuwa promoted na kamshahara na marupurupu yameongezeka.... Yaaa, promoted indeed kunako sita kwa sita!!!!!!
 
Mshiki mshiki.....unataka kujua nilipo? Haya mi nipo samaki samaki. Njo upate castle lite bardiiii!
Najua xpin hapo atatokwa na udenda. Mi wend ilianza Jana.

Hapo ndipo mpwa unaponiuzigi

Anyway ngoja nikamate sicksheet nikakague afya yangu................
 
Ni jana tu kanisimulia alianza kwa kumpa safari za kila mara, akamuongezea bonus zake, short cause kwake hazikauki dada akawa haelewi kuna nini. Mwisho wa yote akamtamkia live na akamwambia anampenda na wala acwe na haraka yakujibu aende akafikiri akiwa tayari atamuambia jana akanunuliwa gari na amekabidhiwa ufunguo na kadi yake, dada yangu ameolewa na ana familia nzuri ya watoto 2 na mume wake anafanya kazi ya kwaida tu ya kuajiliwa ktk kampuni binafsi, ila kwa muda mfupi maisha yamependeza. wana JF nisaidie nimshauri vp? huyu dada yangu? yuko njia panda ndoa anaipenda na anampenda mume wake ila boss anawawezesha

Huyo dada inaonekana kama analegalega ktk idara ya maadili. Kama angekuwa na maadili yaliyo imara basi huyo bosi angepata a resounding hell to the no! Lakini kama ndoa anaipenda na anampenda mume wake ila eti bosi anawawezesha...what kind of chickenshit is that?

Hafai kuwa mke wa mtu huyo maana inaelekea anahusudu material things kiasi cha kuwa njia panda kati ya bosi anaye provide hivyo vitu na mumewe aliyekula kiapo cha kumpenda ktk raha na shida.

Mke anayempenda mumewe kwa dhati hawezi hata kidogo ku entertain advances za wanaume wengine. Na ni hivyo hivyo kwa mwanamume anayempenda mkewe kwa dhati.
 
Manake waifu home anaona vitu vinaingia kwa wingi, mabadiliko ya kufa mtu ye anajua hardworking husband wake amekuwa promoted na kamshahara na marupurupu yameongezeka.... Yaaa, promoted indeed kunako sita kwa sita!!!!!!
ha ha ha hommie oppotunities kama hizi kuziachia ni kazi sana!!
 
Mshiki mshiki.....unataka kujua nilipo? Haya mi nipo samaki samaki. Njo upate castle lite bardiiii!
Najua xpin hapo atatokwa na udenda. Mi wend ilianza Jana.

ahaaa nyie ndo wale mnafanya kazi siku mbili tu za juma eeh!!!

afu na wewe mi nianze kubuguia hizo kitu na jua lote hili.........ndo maana unasahau hata misa inaendeshwaje!!!!

vipi wewe unavumilia mamsapu kuyafanya hayo kweli na ule wivu wako kam jogoo umeishia wapi siku hizi?
 
Ni jana tu kanisimulia alianza kwa kumpa safari za kila mara, akamuongezea bonus zake, short cause kwake hazikauki dada akawa haelewi kuna nini. Mwisho wa yote akamtamkia live na akamwambia anampenda na wala acwe na haraka yakujibu aende akafikiri akiwa tayari atamuambia jana akanunuliwa gari na amekabidhiwa ufunguo na kadi yake, dada yangu ameolewa na ana familia nzuri ya watoto 2 na mume wake anafanya kazi ya kwaida tu ya kuajiliwa ktk kampuni binafsi, ila kwa muda mfupi maisha yamependeza. wana JF nisaidie nimshauri vp? huyu dada yangu? yuko njia panda ndoa anaipenda na anampenda mume wake ila boss anawawezesha

alichukue tu hilo gari, aendelee tu kuwa na huyo bosi, ili apate ukimwi, afe awaache hao watoto wake wawili wakiwa yatima, na aende mojakwamoja motoni kwa dhambi ya uzinzi!!!!!!!!!!!! what do you think about that?

kati ya dhambi kubwa ambazo Mungu huwa haachi kuadhibu hapa hapa duniani, ni dhambi ya uzinzi wa watu walioko kwenye ndoa, ni kwasababu Mungu huwa anamuonea huruma yule anayeibiwa, it is not fair at all, uyo dada kama amepokea hilo gari, hakika ni mtu mbaya sana, kwasababu hata mtoto mdogo angeshajua kinachoendelea, halafu si rahisi bosi kufany akitu kama hicho kama huyo dada hajajilengesha na kuonekana mrahisi....mtakufa na ukimwi hadi mkome, na motoni mtaenda, watoto wenu mnawaacha yatima mnatuhangaisha sisi tunaopata majukumu ya kulea watoto ambao hata hawakuwa kwenye bajeti yetu...sitaki kuendelea kwanza.....
 
duh .....wasi wasi dada keshamegwa huyo!

jamani kazini kuna watu wabaya.....HUH! .....kukuvunjia ndoa hawaoni tabu hata kidogo. wanawake tuwe na akili, unataka kuwa role model gani kwa mwanao? shame on all materialistic women.
 
Huyo dada inaonekana kama analegalega ktk idara ya maadili. Kama angekuwa na maadili yaliyo imara basi huyo bosi angepata a resounding hell to the no! Lakini kama ndoa anaipenda na anampenda mume wake ila eti bosi anawawezesha...what kind of chickenshit is that?

Hafai kuwa mke wa mtu huyo maana inaelekea anahusudu material things kiasi cha kuwa njia panda kati ya bosi anaye provide hivyo vitu na mumewe aliyekula kiapo cha kumpenda ktk raha na shida.

Mke anayempenda mumewe kwa dhati hawezi hata kidogo ku entertain advances za wanaume wengine. Na ni hivyo hivyo kwa mwanamume anayempenda mkewe kwa dhati.

afadhali Nyani Ngabu leo yuko 'soba'
 
yeomiii!!! mke kitega uchumi!!

Weeeee! Sio wife bana......nasema kama ndo mm boss Wa kike anatoa matumizi ya maana....mi nampa joto tu. Kwani nn! Lakini kama ni wifey ya mm, kudadadeki labda nisijue.....coz nitamtafunia mkewe pia na lama Ana vitoto vya kike vikubwa natafuna vyote.alafu naachukua ushahidi kote na ninampelekea ajue nimeharibu mkewe na wanawe period.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom