Dada yangu na boss wake

ngonzi zomukama

Senior Member
Apr 13, 2010
170
5
Ni jana tu kanisimulia alianza kwa kumpa safari za kila mara, akamuongezea bonus zake, short cause kwake hazikauki dada akawa haelewi kuna nini. Mwisho wa yote akamtamkia live na akamwambia anampenda na wala acwe na haraka yakujibu aende akafikiri akiwa tayari atamuambia jana akanunuliwa gari na amekabidhiwa ufunguo na kadi yake, dada yangu ameolewa na ana familia nzuri ya watoto 2 na mume wake anafanya kazi ya kwaida tu ya kuajiliwa ktk kampuni binafsi, ila kwa muda mfupi maisha yamependeza. wana JF nisaidie nimshauri vp? huyu dada yangu? yuko njia panda ndoa anaipenda na anampenda mume wake ila boss anawawezesha
 
mwee, kazi kweli kweli....anayeweza kujibu hilo ni Ferouz (mkasa wa bosi)
 
ushauri wa bure, dada asidanganyke na vitu vya kupita hii dunia ni kama njia tu,arudi katika imani na mungu atamuongoza dhidi ya udhalimu wa huyo bosi otherwise ataingia katika mikono ya shetani.
dah inanisikitisha sana hii habari yako ni jinsi gani watu wanatumia vibaya vyeo walivonavyo imagine leo hii ndoa ikipotea hao watoto wataishi katika mazingira gani,? mi namuombea sana kwa mungu amtoe katika hili balaa.
 
huyu mdada kama kakubali hilo gari itakuwa ndio mmwanzo wa mporpmoko wa ndoa yake....
 
Tamaa za fisi mauti mbele. Amini usiamini haitachukua muda kabla mumewe hajajua everything. Ndipo atajua ukweli wa msemo -Mke wa mtu sumu and vice versa. Mwambie aachane na huo mchezo ni bonge la bomb.
 
Nenda kamwambie asiwe na tamaa arudishe hilo gari maana litamcost a fortune, na asikubali kama ni kazi kuisha iishe si alipewa short courses basi hiyo ndio faida yake akatafute kazi somewhere else, na pia awangalie hao watoto she is there because of them ni hayo tu.
 
Mwambie huyo dada atamezwa mzimamzima aisee...Asicheze na ndoa, si kitu cha mzaha!..Kama alikubali kuolewa asilete urembo tena!...Na huyo bosi anatakiwa atumiwe machalii wamhabarishe kuwa anachezea sharubu za simba..Kama senti zinamwasha azipeleke kwa shangazi zake kijijini!
 
huyu mdada kama kakubali hilo gari itakuwa ndio mmwanzo wa mporpmoko wa ndoa yake....
Kama ameshamegwa mi namshauri achukue mkoko familia yake inufaike na matunda ya mama kuchojolewa.

Hainiingii kichwani kafanyiwa yooooote hayo halafu hajawahi kuvua ch'upi. Mi naona kinachomsumbua hapo ni kuwa akilikubali hilo gari atamwambia nini mumewe?
 
Ni jana tu kanisimulia alianza kwa kumpa safari za kila mara, akamuongezea bonus zake, short cause kwake hazikauki dada akawa haelewi kuna nini. Mwisho wa yote akamtamkia live na akamwambia anampenda na wala acwe na haraka yakujibu aende akafikiri akiwa tayari atamuambia jana akanunuliwa gari na amekabidhiwa ufunguo na kadi yake, dada yangu ameolewa na ana familia nzuri ya watoto 2 na mume wake anafanya kazi ya kwaida tu ya kuajiliwa ktk kampuni binafsi, ila kwa muda mfupi maisha yamependeza. wana JF nisaidie nimshauri vp? huyu dada yangu? yuko njia panda ndoa anaipenda na anampenda mume wake ila boss anawawezesha

Hiyo inaitwa Liyumba style, yaani msela anahonga ghali kudadadeki. Subiria mziki wake sasa. Kajitakia mwenyewe, alishindwa nini kumjibu siku ya kwanza kama hataki? Anataka huyo, ni aibu tu ndio anayoogopa.

Kitamtam cha boga
Kutia nazi kunoga
Mdomo wataka kula
Maungo yaona woga!
 
alikubali dearest, na hiyo ni alama wazi kwamba 'ur application is being considered (tena most probably 'positively')

Kale kakitu wamekabania bana. Ngoja nikugee kwa hapa:
Ze folowing yuzaz say Senksi to you bht fo zis yuziful post; Chrispin
 
Aisee cha kumsaidia huyo dada ni kwamba ushahidi na taharifa zipelekwe kwa mume wake.
Then sisi wana JF tumshauri mume wake nini cha kufanya.
 
alikubali dearest, na hiyo ni alama wazi kwamba 'ur application is being considered (tena most probably 'positively')

huo ndio mwanzo wa kasheshe dearest, coz huyo boc atataka kummilliki mdada kama wake vile, na ni ishara mdada nae alikuwa tayari kumkubali huyo boc akicndikizwa na tamaa zake.
 
Thanks home gal kwa kushare habari mbaya sana masikioni mwa wanandoa sisi! seknyu bery muds!

Tujibu pia kama kishamegwa na boss, ndo tutarudi kutoa ushauri!

Masikini shemejio!

Yaani nimevaa viatu vyake hapa; najsikia utumbo unashuka na kupanda! na mapigo ya moyo yananienda kwa speed ya 6000 / 7000 kmph:angry:
 
Huyu anatafuta jinsi ya kuhalalisha alichofanya (kumkubalia bosi wake ilhali ana mme).
Unapokubali kupokea feva kama hizo, kimsingi ushakubali (no coming back here).
Ushauri wangu: Achague kati ya kipato (huku anaendelea kumegwa na bosi) au aache kazi aokoe ndoa. Hawezi kupata vyote.
 
kabisa kabisa, coz nina uwezo wa kuwa na langu bac hilo lingine clihitaji, pili bado naipenda sana ndoa yangu so nipo tayari kuiharibu/ipoteza....umenimanya?

Ungekuwa huna uwezo wa kuwa na lako usingelikubali?
 
Ni jana tu kanisimulia alianza kwa kumpa safari za kila mara, akamuongezea bonus zake, short cause kwake hazikauki dada akawa haelewi kuna nini. Mwisho wa yote akamtamkia live na akamwambia anampenda na wala acwe na haraka yakujibu aende akafikiri akiwa tayari atamuambia jana akanunuliwa gari na amekabidhiwa ufunguo na kadi yake, dada yangu ameolewa na ana familia nzuri ya watoto 2 na mume wake anafanya kazi ya kwaida tu ya kuajiliwa ktk kampuni binafsi, ila kwa muda mfupi maisha yamependeza. wana JF nisaidie nimshauri vp? huyu dada yangu? yuko njia panda ndoa anaipenda na anampenda mume wake ila boss anawawezesha

Jamani, hata ukiangalia hiki kitu sio cha siku moja wala mbili, it has been going like that for months/years... na kwa mtazamo wangu hafifu (sio 20/20) huyo bosi tayari ana mahusiano na huyo sis wako... Hivi mtu anaweza kutoa gari la bure bure hivi jamani?? siamini!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom