Dada yangu na boss wake

Kama ameshamegwa mi namshauri achukue mkoko familia yake inufaike na matunda ya mama kuchojolewa.

Hainiingii kichwani kafanyiwa yooooote hayo halafu hajawahi kuvua ch'upi. Mi naona kinachomsumbua hapo ni kuwa akilikubali hilo gari atamwambia nini mumewe?

mpaka kalikubali nahic atakuwa amejipanga cha kumweleza mume"mkopo"...ishu ni dhamira kumsuta pale boc atakapokaba mpaka kivuli.
 
huo ndio mwanzo wa kasheshe dearest, coz huyo boc atataka kummilliki mdada kama wake vile, na ni ishara mdada nae alikuwa tayari kumkubali huyo boc akicndikizwa na tamaa zake.

IMPLIEDLY HUYO DADA KAMKUBALI BOSS WAKE, AND SHE IS KINDA INVITING TROUBLE IN HER PARADISE.

hw and why on earth should a married woman agree to such nonesense. uninunulie gari wewe kama nani na kwa nini?

uzuri ni kwamba mtu akiwa na ile nia ile utamjua tu, na huyu mwanamke asokuwa na haya aliyaona haya yote and she voluntarily accepted this nonsense!!!
 
Bht, hapa ali-accept mkwanja (green pasture).
 
Amwambie boss wake kilichompeleka kazini ni ajira na sio starehe kinachofatia hapo ni kuanza kumsaliti mmewe !
Ila dada yako anaonekana sitaki nataka
 
Jamani mke kidonda, nadhani huyo jamaa bado hajajua chungu ya Mke!! mimi ningemchoma live na PETROL
 
Bht, hapa ali-accept mkwanja (green pasture).

ooh she was hunting eeh!!???

dah hii kitu imenichefua sana......umeolewa na mna watoto. sasa mkianza mtafaruku jamani hao malaika wasio na kosa ndo watabeba msalaba wa dhambi zenu!!!! deyyyyyyyyyyyyyyyyyym!!!!

we mleta mada, sasa huyo shemeji yetu naye kalipokeaje hilo gari? (am just curious nijue reaction yake)
 
Jamani mke kidonda, nadhani huyo jamaa bado hajajua chungu ya Mke!! mimi ningemchoma live na PETROL

c mpaka ujue na upate uhakika, hawa watu walianzana cku nyingi sema mdada anaona apotezee kwa kujifanya mambo yalianza jana au juzi, mambo yalianza kuanzia hivyo vi trip vya job etc, we ununuliwe tu gari hivi hivi bila service yoyote wala kukaa na huyo m2 japo ku chart?...na huyu boc hana ndugu huko vjjn akawakomboa kimaisha?
 
ooh she was hunting eeh!!???

dah hii kitu imenichefua sana......umeolewa na mna watoto. sasa mkianza mtafaruku jamani hao malaika wasio na kosa ndo watabeba msalaba wa dhambi zenu!!!! deyyyyyyyyyyyyyyyyyym!!!!

we mleta mada, sasa huyo shemeji yetu naye kalipokeaje hilo gari? (am just curious nijue reaction yake)

mwanaume mwenye akili zake timamu hilo gari litampasua kichwa kujua limepatikanaje na kimya kimya hivyo unlec awe alishalidokeza hili(kiuongo uongo) kwa mr, othrwc asubiri purukushani tu.
 
huyo dada yako anakaribisha matatizo makubwa sana katika maisha yake mapenzi ni kama upofu na huyo dada yako ameshapofuka hawezi kuona tena, hizo ni tamaa tu anazoonyesha kwa nn ukubali zawadi kama hizo za muda mfupi. Matokeo yake yatakuwa hivi (naandika kwa kuwa nimeshayaona kwa watu haya):

1.wataanza uhusiano au wameshaanza,

2. kuna siku mume wake atagundua na kumwacha tena itajulikana ofisini kote na sababu,

3. baada ya kuachwa huyo dada yako ataaibika sana ofisini kwake na bosi pia na hiyo habari itatapakaa na kumchafua sana bosi,

4. dada yako atakuwa hana pa kukimbilia na kumtaka bosi amchukue jumla,

5. kwa kuwa mambo yameshaharibika bosi nae ataanza kumkwepa

6. dada yako atamjia juu kwa nini amemharibia maisha yake

7. bosi atakasirika na kuamua kumfukuza kazi ili aponye kibarua chake na kuzima hiyo kashfa

8. dada yako atachanganyikiwa sana na anaweza hata kujiua na kuleta simanzi kwako wewe na familia nzima kwa jumla

kwa hali hiyo naomba umwambie huyo dada yako ahamue moja kuacha kazi au kumwambia ukweli mme wake na kumuonya bosi wake otherwise mnakaribisha msiba wa dada yako na matatizo makubwa sana kwa watoto wake

hizo zawadi na hilo gari hakika litamletea matatizo makubwa mara 1000 ya hizo zawadi na atatamani hazitapike kabisa

Pesa zinatafutwa jamani lakini si utu tufanye kazi kwa bidii maisha hayana short cut,
 
... Hivi mtu anaweza kutoa gari la bure bure hivi jamani?? siamini!!

Wapo ndugu yangu tena wamejaa tele!

Nilishawahi kutoa wito tuwaombeeni wanandoa! Hapa ni mahali ambapo si rahisi kuchomoka kama una roho nyepesi!

Mwanamke mjasiriamali mmoja yeye walikutana na jamaa kwenye ndege wakitokea China; basi zikaanza favor za kumsaidia kuclear na nn; favor zimekuwa na baadaye akajifanya kuwa anataka kuwekeza kwenye biashara hiyo akaongezea mtaji mkubwa na maduka yakaongezwa mpaka mikoani na mwisho akanunuliwa na gari kama huyu na hapo mtu akawa kishanunuliwa mzima mzima; alipokuja kuchotwa wala hakupinga na hiyo ndoa imeshasambaratika siku nyingi na kumuacha Mume akikimbilia nje kusoma ili kukwepa macho ya watu!

Inasikitisha lkn hayo yapo na kama huamini naomba usiwe kama Tomaso!
 
eeeeh Mungu jamani dunia hii ina mengi kweli!!!!
 
Hebu nipeni contract nimfungie kazi huyo Mbwa mwitu! Haki ya nani nitamnyoa bila kutia maji!:angry:
 
Wapo ndugu yangu tena wamejaa tele!

Nilishawahi kutoa wito tuwaombeeni wanandoa! Hapa ni mahali ambapo si rahisi kuchomoka kama una roho nyepesi!

Mwanamke mjasiriamali mmoja yeye walikutana na jamaa kwenye ndege wakitokea China; basi zikaanza favor za kumsaidia kuclear na nn; favor zimekuwa na baadaye akajifanya kuwa anataka kuwekeza kwenye biashara hiyo akaongezea mtaji mkubwa na maduka yakaongezwa mpaka mikoani na mwisho akanunuliwa na gari kama huyu na hapo mtu akawa kishanunuliwa mzima mzima; alipokuja kuchotwa wala hakupinga na hiyo ndoa imeshasambaratika siku nyingi na kumuacha Mume akikimbilia nje kusoma ili kukwepa macho ya watu!

Inasikitisha lkn hayo yapo na kama huamini naomba usiwe kama Tomaso!

ahhh...mambo mazito haya!
 
Sasa tatizo hawa wana watoto jamani... hivi wanandoa wanapoamua kujiingiza kwenye mambo kama haya, huwa wanawafikiria watoto wao kweli au wanafikiria tu mali na vitu vya kupita??

Nawaweka kwenye maombi spesho
 
Hayo mambo ya kawaida hapa Dar! Mkeo ananunuliwa gari anakwambia nimekopa SACCOS na nimedunduliza hela ya safari kumbe ni chakula ya Ma-director! Na kwakweli wanawala wake za watu kwa kwenda mbele - kubali au kataa - ni shauri yako! Nawafahamu wengi sana na mara nyingi sana ninakutana nao (Ma-Director na wake za watu). Zunguuka baa za uswahilini na uone kinachoendelea. Unadhani haya magari yaliyojaa mjini yanatoka wapi ? - Ujasiliamali kweli - all of a sudden mji umefurika magari - 40% ni ya kuhongwa

Kwa Tanzania UKIMWI utaisha kwa NEEMA za MUNGU tu - Ni mfumo wa maisha na unatumaliza indeed!

Amani iwe kwenu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom