Helicobacter pylori
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 430
- 287
Huyo ni binamu yako, na "Binamu nyama ya hamu" wahenga walisema,
Hapo hakuna laana wala mikosi....
Itendee vyema shauku ya binamu yako, anakutegemea ndio maana anajiweka vyema ili utungue.
Sasa we jifanye sitaki nataka...
Bahati haziji mara mbili, ikirudi huo ni mkosi.