Dada yangu ananitaka kimapenzi

Dada yangu ananitaka kimapenzi

Ndugu zangu wanajamvi,

Kwanza naomba niulize, mtoto wa MJOMBA wangu ni ndugu kivile? Tumekuwa tukiishi na huyo mtoto wa mjomba wangu kwa kipindi kirefu, mwanzoni ilikuwa kawaida tu maana alikuwa bado mdogo, ila sasahivi chuchu konzi, msambwana umenawili, kwahiyo ameanza kubadilika, muda mwingine anaweza kuwasha mziki nikipita anajisogeza nimbambie ila nakataa.

Muda mwingine anakuja kunikaribisha chakula anaingia bila hata kupiga hodi nakuta hata nimetoka kuoga halafu dushe limeninginia yeye anaingia tu, muda mwingine anavaa kanga moko tu, au akitoka kuoga anakuja chumbani kwangu huku khanga imeloa anadai mafuta yake yameisha eti nimpe yangu ila akigeuka anatingisha.

Sasa najiuliza, nimle au nitakosea? Maana namimi ni binadamu stimu huwa zinapanda muda mwingine.

Naombeni ushauri jamani.
Makubwa dunia simama nishuke khaaa
 
Brother mi natafuta kuwa house boi hapo kwenu... Mm ni mtulivu na sina papara....
Ila ntafanya kazi bure hapo kwa mwezi mzima bila malipo !!?? Na ikiwezekana badae tytaelwana malipo tuu..
Ila nasifika kwa kufanya kazi ngumu, na za kawaida...halafu ntakuwakama mwalimu kumfundisha huyo mdogo wako jinsi ya kuheshimu wakubwa
 
Duuh yaani stori yako tuu dushe hilooo.... Daaaah !!!
Ila jiangalie ukimla huyo atataka kila siku...siku ya kwanza utamg**ea chumbani, siku ya pili chooni, siku ya tatu sebuleni , siku inayofuata kwenye maua nje !!, ipo siku atataka mchezo wakati mjomba yuko ndan na mkewe
 
kizazi hiki kweli tabu sana, eeh Mungu tusaidie makunzi ya watoto wetu
 
Ivi wanawake tumeisha mpaka umle nduguyo?
Acha hizo bana! Mpotezee tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom