The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,582
- 7,242
Asipo nisikia nitakupatia namba ila akisikia tatizo litakuwa limekwishaKweli kabisa.
Akikupa hiyo no. nipatie na mimi nimkanye aache hiyo tabia
Asipo nisikia nitakupatia namba ila akisikia tatizo litakuwa limekwishaKweli kabisa.
Akikupa hiyo no. nipatie na mimi nimkanye aache hiyo tabia
JF is never boring.Huyo ni ndugu yako kabisa achanae kabisa ikijulikana italeta shida kwenye familia hebu kwanza nipatie namba yake na yeye nimkanye
Daudi tena, sio yusuph.?Ikimbie zinaa kama kijana Daudi kwa yule mke wa mfalme, ila mawazo yako yamuone kama dada au mama yako...ukimchukulia hivi hutoweza kunyanyua mshipa wako.... Usile ni haramu kwako...huwezi jua nawe generation yako usiinajisi
Umeona eee..au nimtolee uvivu jomba?..Ndio tatzo miembe ya Nyumbani hata kutungua huwez...
Ni mawazo yako mkuu..Hii ni story ya kutungwa,
acha ufara piga mbupu ....mbona unakua boya kijanaa...Ndugu zangu wanajamvi,,kwanza naomba niulize,mtoto wa MJOMBA angu ni ndugu kivile?..Tumekuwa tukiishi na huyo mtoto wa mjomba angu kwa kipindi kirefu,,mwanzoni ilikuwa kawaida tu maana alikuwa bado mdogo,ila sasahivi chuchu konzi,,msambwana umenawili,,kwahiyo ameanza kubadilika,muda mwingine anaweza kuwasha mziki nikipita anajisogeza nimbambie ila nakataa,,muda mwingine anakuja kunikaribisha chakula anaingia bila hata kupiga hodi nakuta hata nimetoka kuoga halafu dushe limeninginia yeye anaingia tu,,,muda mwingine anavaa kanga moko tu,,au akitoka kuoga anakuja chumbani kwangu hukukhanga imeloa anadai mafuta yake yameisha eti nimpe yangu ila akigeuka anatingisha...Sasa najiuliza,,nimle?au ntakosea?..maana namimi ni binadamu stimu huwa zinapanda muda mwingine..Naombeni ushauri jamani..
aisee!We'jilie tu faza.....mengineyo yatafata baadae,utajua nini cha'kufanya.sie binadam hatushindwi kusovu inshu!!!!!