Dada yake MBOWE aikacha CHADEMA ajiunga na CCM!!

Ni haki ya kikatiba kuwa mwanachama wa chama chochote so mafanikio mema anakokwenda chadema aliikuta na ataicha ila mbona hajapokelewa na mwenyekiti taifa kama shonza na mwenzake ingenoga sana
 
Chadema ni wahuni flani ivi, asante joyce mbowe kwa kujitambua na kujiunga na chama pendwa cha watanzania
 
sasa kama dad mtu kasepa mapema sijui wengine wanafanya nini huko bado
 


Wanatumia nguvu ya pesa kuwanunua wanasiasa wa vyama vya upinzani. Uchaguzi ujao mjipange wananchi wamechoka na kuishi maisha yasiyo na mwelekeo.
 
 
maana ya peoples power !!inamaanisha chadema ni chama cha watu na sio familia

slogans za kukopi kwa marehemu, nyie zenu ni zipi mlizozitunga kwa akili zenu bila kuibia mahali popote
 
naona Ritz na ukoo wake wa panya wanajitahdi ku coment iloi kuhakikisha leo inaondoka buku ten.
 
Freeman Mbowe wa Chadema.
Ukweli ni huu hapa; Hii ni taarifa kutoka kwa mmoja wa wanafamilia ya Mbowe.

USAHIHI WA UVUMI ULIOENEZWA NA MAGAZETI YA CCM KUWA DADA WA KAMANDA MBOWE AMEHAMIA CCM TOKA CHADEMA

Grace Mbowe ni dada wa afande Gervace Mbowe OCS wa Makuyuni aliyewasaidia wasomali kumpiga mbunge Nassari. Hawana uhusiano wowote na Freeman Mbowe
 
Ukiona majina yamefanana basi mnaConnect dots eeeeh!!!!!
Hata kama ingekuwa ni kweli,kwani unataka kuniambia kwenye ukoo wa kikwete wote ni Ccm?Ushabiki usiokuwa na tija yoyote kwa taifa,wakat yapo mambo ya msingi yakujadiliwa.

Okey tufanye kahama.....so what?ataenda kuzuia uingizaji wa madawa ya kulevya?usafirishwaji wa twiga na wanyama kwa ujumla?
 
Mungi,

Usipende kuropoka wewe ni Chadema lakini huifahamu familia ya kina Mbowe.

Grace ni dada yake Mbowe mama mmoja na baba mmoja.

Poleni sana makamanda

Ndugu wa Grace Mbowe ni Gervas Mbowe OCS wa Makuyuni. Mbona unalazimisha uwongo wewe?
 
Hongera sana ........"Dada yake na Mbowe GRESI MBOWE......"
Umechagua fungu jema sana;
Sie tuliofaidi matunda ya nchi hii tushirikiane kukiimarisha chama cha mapinduzi.
copy chama
Kwa hiyo mwanaume akichagua dada ya mtu na kuolewa tunatabia ya kusema kachagua fungu jema, hivyo akishachagua na wewe utapeleka kwa huyo mwanaume kwa msingi huo huo? Kama sisiemu ni fungu jema basi basi heri akina Australopithecines na akina Zinjanthropus waje wachuke nchi yao maana Homo sapiens sapiens wa TZ kashindwa.
 
mbona makongoro nyerere alihama ccm akaenda nccr mbona haikiwa tabu?cdm cyo chama cha mbowe
 
yule ni dada yake wa kuzaliwa. Ni pigo kwa mwenyekiti mbowe na chdm kwa ujumla

hivi mtaachana lini kujadili majina badala ya masuala ya msingi? Kwani kuingia kwake kunaiathiri vipi chadema na inawasaidia vipi ccm? Hiyo ndiyo issue. Kama kuingia na kutoka kwenye vyama siyo issue kwa Tanzania, hususani kutoka upinzani kwenda CCM. Je kuingia kwake ccm kutafunga mlango kwa watu wengine kujiunga na cdm? Hakuna issue ya kujadili hapa, kapenda mwenyewe ataliwa mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…