Dada yake MBOWE aikacha CHADEMA ajiunga na CCM!!

Dada yake MBOWE aikacha CHADEMA ajiunga na CCM!!

Hii habari imekuwa chungu kwa makamanda wa Chadema, kila mmoja anatokwa na povu, teh teh teh teh.
 
Hakuna Dada wa Mbowe ambaye ni Mmpumbavu kiasi hicho. Grace Mbowe ni dada wa afande Gervace Mbowe OCS wa Makuyuni aliyewasaidia wasomali kumpiga mbunge Nassari. Hawana uhusiano wowote na Freeman Mbowe

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

ahasante mkuu kwa kuwapa ukweli,hawa Gamba walishaanza kueneza uzandiki
 
Uko wa mbowe ni mkubwa sana, kama shirima n.k sasa sishangai kuama kwani ni bibi sasa kama ni dada kwa mbowe.....

Mawili either tumemtuma kufanya kazi maalumu or ni mbulula.

M4C Never end until 2015
Peoples powerrrrrrrrrr
 
..... Okay vere gudi wewe ni Mbulula ... nimekusoma Dodiiii .... Ficha ujinga wako na onyesha Busara yako ....
 
Makamanda, Mungi, na Ben Saanane, mpaka kesho wanapinga kuwa Grace Mbowe siyo dada yake Mbowe, siasa hizi kisa kaenda Chadema wamemtoa kwenye watoto wa Mzee Mbowe.
 
Last edited by a moderator:
Aisee kweli mleta uzi huyu ni taahira,hajui hata maana ya demokrasia! kuamua kujiunga na chama chochote cha siasa si ni uhuru na utashi binafsi wa mtu? how comes dada Grace kuwa ccm iwe big issue? mbona mh.Lissu na kaka yake Alute wapo vyama tofauti na undugu wao haujathirika popote? Kwa taarifa yako CDM ni chama cha UMMA wa WATZ hata m/kiti na katibu wakihama chama kitasonga tu.What happened in CDM julianna shonza aliporudia matapishi yake? did you see any shake in CDM? Kuweni na akili japo kidogo nyie machizi wa buku 7 lumumba team.
 
Hakuna Dada wa Mbowe ambaye ni Mmpumbavu kiasi hicho. Grace Mbowe ni dada wa afande Gervace Mbowe OCS wa Makuyuni aliyewasaidia wasomali kumpiga mbunge Nassari. Hawana uhusiano wowote na Freeman Mbowe

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mungi,

Usipende kuropoka wewe ni Chadema lakini huifahamu familia ya kina Mbowe.

Grace ni dada yake Mbowe mama mmoja na baba mmoja.

Poleni sana makamanda
 
Last edited by a moderator:
Hii habari imekuwa chungu kwa makamanda wa Chadema, kila mmoja anatokwa na povu, teh teh teh teh.

Wadau waitaji kusikia msimamo wako kuhusu madawa ya kulevya mtoto wa mkulu!

Uongo ukirudiwa Mara nyingi bila kukanushwa hugeuka Kuwa ukweli, na Tuhuma haiachi kuwa Tuhuma pale mtuhumiwa

anapokanusha Bali Tuhuma inaacha Kuwa Tuhuma pale mtuhumiwa anapofikishwa Mbele ya vyombo vya sheria na kutoa maamuzi yasio na chembe za Mashaka.
 
Dada yake Mbowe kajitambua, ameona haiwezekani akili ndogo iongoze akili kubwa.

Hongera sana Grace Mbowe.

Kama nyumbani wanamkataa Mbowe, kulikoni.

ati si mnasema chadema ni ya wachaga? Mbona mnakubali kumpokea huyo dada kutoka kaskazini' wakati mwingine muwe mnaacha unafiki..
 
Dada yake Mbowe kajitambua, ameona haiwezekani akili ndogo iongoze akili kubwa.

Hongera sana Grace Mbowe.

Kama nyumbani wanamkataa Mbowe, kulikoni.
Kaka nasikia mbowe kaweka mashine mpya airport. Mtafanyaje?
 
Wakati Mwenyekiti wa taifa CHADEMA mh Freeman Mbowe na baadhi ya Wabunge wakihojiwa na jeshi la polisi mkoani Iringa kwa kile kinachodaiwa na jeshi hilo ni kupitiliza muda wa kuhutubia ktk mkutano uliofanyika siku ya jumamosi, Dada yake na Mbowe GRESI MBOWE,ameamua kuikacha CDM na hatimae kujiunga na CCM!!

SOURCE; Gazeti la Uhuru (Radio Free Afrika)
Propaganda za kitoto km hizi ,hazitawasaidia chochote ,tuambieni mabilioni ya uswisi vp?,ripoti zinazoundwa kila tukio majibu yake yako wapi?,na wale vigogo wauza sembe aliosema mkt wenu ana majina yao mbona kimya? na km haitoshi aliyemteka ulimboka,kibanda nk yuko wapi? tunataka majibu ya maswali haya @all gambaz.
 
Nani kawaambia Chadema ni chama cha familia?

Utashi wake huyu binti ndio uliomrudisha Utumwani
 
sioni kosa lake.kwani ni haki yake kikatiba kuamua atakalo,hata Mbowe mwenyewe akiamua siku moja anaweza kuhamia chama kingine!ni uamuzi wake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom