Dada Wema, anasema karibuni kula

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
299395_531405556888890_23670314_n.jpg
 
Hicho ni chakula aina gani, mbona hakieleweki. Isije ikawa konokono au chamaki nchanga wa Mtwara.
 
Mkuu Mbuzimzee mpumzishe huyu kahaba. Nakushauri usilete tena uzi kama huu. Umenivurugia siku yangu. Maana alisema kuwa sisi wanaume wote akiwamo baba, babu, wajomba zake ni wa hovyo. Hana maana huyu mtoto anayeongea bila kufikiri. Ingawa wewe ni mbuzi ulipaswa kujua hisia za binadamu hasa wanaume. Anyway huenda anakula nyama ya mwenzio. Kwa vile wewe ni hayawani huwezi kung'amua.
 
Father of All , kumbe binti anakufruh naman hii. Basi natanguliza samahani kwa wakulu wote. Sinto rudia tena kuweka picha yake hapa.
 
Umesamehewa. Simchukii kiumbe huyu maskini wa kuhurumiwa. Ila hana uzito wa kujadiliwa na Great Thinkers otherwise tukijigeuza great tinkers ambalo halitufai na si saizi yetu mkuu MbuziMzee.
 
Fukushima yokohama,
ujinga unachangia maradhi na hayo ndio huleta umasikini...!
 
Nimependa pilipili hiyo pembeni huhamasisha sana mlo hasa ukiwa unapata yale maji ya TBL.
 
Magoti yamefanya nini tena? au ndio ile michezo ya Sakafuni imezidi..mmh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom