Dada Wema, anasema karibuni kula

Mkuu Mbuzimzee mpumzishe huyu kahaba. Nakushauri usilete tena uzi kama huu. Umenivurugia siku yangu. Maana alisema kuwa sisi wanaume wote akiwamo baba, babu, wajomba zake ni wa hovyo. Hana maana huyu mtoto anayeongea bila kufikiri. Ingawa wewe ni mbuzi ulipaswa kujua hisia za binadamu hasa wanaume. Anyway huenda anakula nyama ya mwenzio. Kwa vile wewe ni hayawani huwezi kung'amua.

Kweli JF kuna watu, Lol
 
Wee baba una mambo wewe! naona umeamu kumpigia gita mbuzi.
 
kushika nyama ushike mkono wa kulia, kulambwa vilambwe vidole vya mkono wa kushoto
 
299395_531405556888890_23670314_n.jpg

-Mtindo huu hasi wa maisha,mtindo wa karaha kuwa raha ,tukubaliane lishe za hovyo ni chanzo cha maradhi ya kusendeka(maradi yasiyoambukiza) saratani,kisukari,shindikizo la damu,kiarusi na maradhi ya moyo,Tubadirike wabongo na style zetu ya maisha.

-Mbongo akiamka asubuhi anaenda mgahawani anahagiza supu chapati tatu chai na soda ya baridi pembeni mwenyewe anasema anajichana ila ktk hali halisi anachanika,ndio anachanika coz chakula hiki ukitumia mara kwa mara sio lishe njema ni lishe mbovu coz mrundikano wa mafuta na sukari lkn kwake mbongo ndio lishe bora maana mbongo kwake nyeusi ni nyeupe

-Baadae ikifika mchana anaagiza chipsi mayai wenyewe wanaita zege juu mguu wa kuku na mishikaki miwili mitatu kisha yote hio anaishushia kwa soda baridi ukimuuliza kulikoni anakujibu tangu lini mwili ukajengwa kwa matofali? Ni makosa yale yale ni mrundikano wa mafuta sukari na wanga lkn mbongo hasikii maana kwake hasi huwa chanya

-Inaingia Jioni Lete moja moto moja baridi kata mti panda mti mbongo na bia bia na mbongo pembeni na mishikaki,yale yale sukari wanga na mafuta akitoka hapo utamuonea huruma mbongo anahemea juujuu tumbo limefurika na kwa mujibu wa mbongo kama huyo ambae amejijengea imani potofu milo kama hii inanenepesha na kuwa na kitambi ni kiashirio cha kuwa pesa na hana utamaduni wa kufanya mazoezi kutembea kwa miguu kwake ni sumu yeye na gari tu,kupanda ngazi kwake ni nuksi yeye na lifti tu.

-Matokeo yake utamkuta mbongo ana kichwa kimeungana na shingo kifua hana badala yake ana bonge la tumbo chini miguu mithiri ya njiti ya kibiriti yupo yupo tu mithiri ya TUFE

Tubadirike wabongo na style zetu ya maisha
 
kushika nyama ushike mkono wa kulia, kulambwa vilambwe vidole vya mkono wa kushoto
 
Mkuu Mbuzimzee mpumzishe huyu kahaba. Nakushauri usilete tena uzi kama huu. Umenivurugia siku yangu. Maana alisema kuwa sisi wanaume wote akiwamo baba, babu, wajomba zake ni wa hovyo. Hana maana huyu mtoto anayeongea bila kufikiri. Ingawa wewe ni mbuzi ulipaswa kujua hisia za binadamu hasa wanaume. Anyway huenda anakula nyama ya mwenzio. Kwa vile wewe ni hayawani huwezi kung'amua.
Brother huwa coment zako zinaipelekea siku yangu kuisha vizuri aisee..!!!!dahh
 
-Mtindo huu hasi wa maisha,mtindo wa karaha kuwa raha ,tukubaliane lishe za hovyo ni chanzo cha maradhi ya kusendeka(maradi yasiyoambukiza) saratani,kisukari,shindikizo la damu,kiarusi na maradhi ya moyo,Tubadirike wabongo na style zetu ya maisha.

-Mbongo akiamka asubuhi anaenda mgahawani anahagiza supu chapati tatu chai na soda ya baridi pembeni mwenyewe anasema anajichana ila ktk hali halisi anachanika,ndio anachanika coz chakula hiki ukitumia mara kwa mara sio lishe njema ni lishe mbovu coz mrundikano wa mafuta na sukari lkn kwake mbongo ndio lishe bora maana mbongo kwake nyeusi ni nyeupe

-Baadae ikifika mchana anaagiza chipsi mayai wenyewe wanaita zege juu mguu wa kuku na mishikaki miwili mitatu kisha yote hio anaishushia kwa soda baridi ukimuuliza kulikoni anakujibu tangu lini mwili ukajengwa kwa matofali? Ni makosa yale yale ni mrundikano wa mafuta sukari na wanga lkn mbongo hasikii maana kwake hasi huwa chanya

-Inaingia Jioni Lete moja moto moja baridi kata mti panda mti mbongo na bia bia na mbongo pembeni na mishikaki,yale yale sukari wanga na mafuta akitoka hapo utamuonea huruma mbongo anahemea juujuu tumbo limefurika na kwa mujibu wa mbongo kama huyo ambae amejijengea imani potofu milo kama hii inanenepesha na kuwa na kitambi ni kiashirio cha kuwa pesa na hana utamaduni wa kufanya mazoezi kutembea kwa miguu kwake ni sumu yeye na gari tu,kupanda ngazi kwake ni nuksi yeye na lifti tu.

-Matokeo yake utamkuta mbongo ana kichwa kimeungana na shingo kifua hana badala yake ana bonge la tumbo chini miguu mithiri ya njiti ya kibiriti yupo yupo tu mithiri ya TUFE[/B

Tubadirike wabongo na style zetu ya maisha

Well said!
 
-Mtindo huu hasi wa maisha,mtindo wa karaha kuwa raha ,tukubaliane lishe za hovyo ni chanzo cha maradhi ya kusendeka(maradi yasiyoambukiza) saratani,kisukari,shindikizo la damu,kiarusi na maradhi ya moyo,Tubadirike wabongo na style zetu ya maisha.

-Mbongo akiamka asubuhi anaenda mgahawani anahagiza supu chapati tatu chai na soda ya baridi pembeni mwenyewe anasema anajichana ila ktk hali halisi anachanika,ndio anachanika coz chakula hiki ukitumia mara kwa mara sio lishe njema ni lishe mbovu coz mrundikano wa mafuta na sukari lkn kwake mbongo ndio lishe bora maana mbongo kwake nyeusi ni nyeupe

-Baadae ikifika mchana anaagiza chipsi mayai wenyewe wanaita zege juu mguu wa kuku na mishikaki miwili mitatu kisha yote hio anaishushia kwa soda baridi ukimuuliza kulikoni anakujibu tangu lini mwili ukajengwa kwa matofali? Ni makosa yale yale ni mrundikano wa mafuta sukari na wanga lkn mbongo hasikii maana kwake hasi huwa chanya

-Inaingia Jioni Lete moja moto moja baridi kata mti panda mti mbongo na bia bia na mbongo pembeni na mishikaki,yale yale sukari wanga na mafuta akitoka hapo utamuonea huruma mbongo anahemea juujuu tumbo limefurika na kwa mujibu wa mbongo kama huyo ambae amejijengea imani potofu milo kama hii inanenepesha na kuwa na kitambi ni kiashirio cha kuwa pesa na hana utamaduni wa kufanya mazoezi kutembea kwa miguu kwake ni sumu yeye na gari tu,kupanda ngazi kwake ni nuksi yeye na lifti tu.

-Matokeo yake utamkuta mbongo ana kichwa kimeungana na shingo kifua hana badala yake ana bonge la tumbo chini miguu mithiri ya njiti ya kibiriti yupo yupo tu mithiri ya TUFE

Tubadirike wabongo na style zetu ya maisha

Japokuwa sikubaliani na wewe, lakini unajua kuongea na kutoa mifano..kuwa mwanasiasa ndugu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom