silasc
JF-Expert Member
- Feb 10, 2013
- 3,347
- 1,988
Wanakuhurumia mkuu😀.Na huu ufupi wangu wote lakini sijawahi kupata hiyo kadhia!!
Nashukuru maeneo ninayoenda kupata Huduma napewa respect sana!!
Wanakuhurumia mkuu😀.Na huu ufupi wangu wote lakini sijawahi kupata hiyo kadhia!!
Nashukuru maeneo ninayoenda kupata Huduma napewa respect sana!!
Mkuu ungemwambia aache ushamba nadhani ndio kauli ambayo ingemfaa.Aiseeee hata wale watu wa parking za kwenye malls na magorofa ya kibongobongo wana zereu hatari.Kuna siku mtu wa mbele yangu alipewa parking mbaya tu ya kuzunguka nyuma ya jengo wakati mimi niklikuwa nyuma yake nikaonyeshwa parking nzuri.Alafu ile nashuka ananiambia hii gari ndio inastahili kupack hapa.Nilimtolea jicho nikamwambia acha dharau hakuamini.
Mkuu umenikumbusha mbali, mwaka 2009 niliwahi kwenda duka la mariedo pale benjamin mkapa tower, kuna mdada pale na haka kaumbo kangu kama sijala mwezi mzima akawa ananitazama kama vile niliyepotea njia.
Nikawa namuuliza bei ya vitu mbalimbali ananijibu kama vile tuna ugomvi.
Mwisho akaona naanza chagua akawa ananitazma kwa hasira.
Nilipochukua bahasha ya kaki yenye michuzi nikaweka kaunta kumlipa maana nilichagua vitu vingi ndipo akaanza nikenulia na kunichekea sana.
Tatizo people judge other people kwa mavazi na vitambi.
Wengine hata tule vipi afya ilishaweka mgomo
ah ah mwana ameenda vua smaakiSinuhame kwani mkeo anafanya kazi hapo au
Ndio maana siku hizi wanatapeliwa kirahisi rahisi kutokana na hiyo mentality.Inasikitisha hadi leo Tanzania hii kuna watu wanaamini mwenye pesa lazima awe na kitambi, avae vizuri.
Kuona kuwa kitambi na kuvaa vizuri ndio alama za mwenye pesa ni athari ya umasikini unaosumbua jamii zetu.
Protocol bado sana kwa watanzania wengi mkuu.Kwanza inawezekana ni kweli haya unayoyasema lkn pia inaweza kuwa fitna tu. Nimekwenda pale several times na kamwili kangu mbau mbau sijawahi kupata experience hiyo...!
Kinachonishangaza, pale kwanza hakuna reception per se, kuna ofisi kadhaa za agents ukiingia lobby wanakuona na kuja kuku attend. Ukifika wanaongea na ww kwanza a, b, cs ili kujua unataka nn, go through brochures ambazo zina kila kitu in terms of info na then unapelekwa- wana mini Van, at times unaweza ombwa usubiri irudi kama ipo na wageni wengine maana ofc na nyumba zilipo ni mbali kidogo.
Pili kama kweli nia ni kurekebisha kwa nn usiombe kuonana na supervisor badala ya kukimbilia JF ?. Kule mbali hivyo yaani ufanyiwe hivyo tu na kuondoka ??
Na why ukimbilie issue ya kuajiri wageni yaani case moja tu-km ni ya kweli ndiyo ukimbilie conclusion hiyo ?
NB: wabongo tuache hizi tabia hii ni karne ya 21. Watu wanakimbilia keyboards na kuandika madudu ya ajabu ajabu. Juzi mtu humu kaanzisha thread ya kunyimwa passport mpaka alete vyeti vya babu na bibi, na kuwa ameshaliwa hadi 150,000 huku akizungushwa zungushwa. Mimi nikaulizia na kuthibitishiwa kweli at times km wana wasiwasi na muombaji basi wanajiridhisha kwa kufanya hivyo, maana wengine wanakua na lafudhi za kinugu nk. Nikawasiliana na mtoa mada ili kumsaidia apeleke nyaraka zake hizo kwa mtu pale immigration, ataziangalia na kumsaidia BURE, na km akitambua aliyempa pesa basi atarudishiwa !!
Huwezi amini kaingia mitini right away mpaka leo....!!!
Watu wana dharau sana.
Siku moja natoka Bagamoyo niko na Vitz. Naangalia mshale wa Petrol inaelekea kukata. Niko pale JKT karibu na njia panda ya kwenda Kunduchi nikaingia shell. Kulikuwa na foleni kidogo, nikasogeza gari nikafungua tank nikamwambia muhudumu jaza full tank. Jamaa akaanza dharau, utalipa? Nikamjibu kwanini nisilipe, tukarushiana maneno pale mwisho wake akajaza. Nikampa pesa yake nikaondoka. Sasa sijui alikuwa anahofia nini
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mkuu umenikumbusha mbali, mwaka 2009 niliwahi kwenda duka la mariedo pale benjamin mkapa tower, kuna mdada pale na haka kaumbo kangu kama sijala mwezi mzima akawa ananitazama kama vile niliyepotea njia.
Nikawa namuuliza bei ya vitu mbalimbali ananijibu kama vile tuna ugomvi.
Mwisho akaona naanza chagua akawa ananitazma kwa hasira.
Nilipochukua bahasha ya kaki yenye michuzi nikaweka kaunta kumlipa maana nilichagua vitu vingi ndipo akaanza nikenulia na kunichekea sana.
Tatizo people judge other people kwa mavazi na vitambi.
Wengine hata tule vipi afya ilishaweka mgomo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Sinuhame kwani mkeo anafanya kazi hapo au
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji13]Na huu ufupi wangu wote lakini sijawahi kupata hiyo kadhia!!
Nashukuru maeneo ninayoenda kupata Huduma napewa respect sana!!
Chifu, viashiria vya kuwa na pesa Tanzania ni vya ajabu sana. Hapa hata ukiwa na iPhone 7 utaonekana huna pesa. Yaani nikionaga hali kama hiyo, ngachoka kabisa.Inasikitisha hadi leo Tanzania hii kuna watu wanaamini mwenye pesa lazima awe na kitambi, avae vizuri.
Kuona kuwa kitambi na kuvaa vizuri ndio alama za mwenye pesa ni athari ya umasikini unaosumbua jamii zetu.
wewe ni special groupNa huu ufupi wangu wote lakini sijawahi kupata hiyo kadhia!!
Nashukuru maeneo ninayoenda kupata Huduma napewa respect sana!!
..pesa na muonekano havina uhusiano kabisa jamani....Kuna watu wana pesa wanapigwa mavumbi maporini na kunywa maji ya chura na hawana muda na Huo Muonekano aisee...na ndo wakija kama mfano avic huko vimtu vinatoa dharau kumbe ndiye mteja mzuri.Usikariri
Andrea na wewe ni mmoja wao hao watoa huduma?Maana una dalili za kuguswa sehemu!!?...kuna watu wana gundu tu, yaani wanachukiwa bila sababu. By the way, nyumba yenyewe ulinunua? au ilikuwa saundi tu?
Watu hasa wa Dar wanaangalia sana mtu usoni, kaskrab, kachomekea, ananukia ka jini, anabonga ngeli, ndo wanajua ana pesa. Kwa anaepafahamu Rwamgasa, Mwanza, Geita na Shinyanga atakuwa ananielewa..pesa na muonekano havina uhusiano kabisa jamani....Kuna watu wana pesa wanapigwa mavumbi maporini na kunywa maji ya chura na hawana muda na Huo Muonekano aisee...na ndo wakija kama mfano avic huko vimtu vinatoa dharau kumbe ndiye mteja mzuri.
Nsanzu mimi ni mwenyeji sana hayo maeneo yote.Rwamgasa,buziba,nyamahuna,hadi Migodi ya magharibi...Kuna wazee kwa vijana wana hela hiyo kanda hata Dar hawataki kwenda wanakula hela zao hukohukoWatu hasa wa Dar wanaangalia sana mtu usoni, kaskrab, kachomekea, ananukia ka jini, anabonga ngeli, ndo wanajua ana pesa. Kwa anaepafahamu Rwamgasa, Mwanza, Geita na Shinyanga atakuwa ananielewa