Yako ipi? Enlighten a gNafikiri maana ya kuvaa simple kwako na kwangu ni tofauti.
Yako ipi? Enlighten a gNafikiri maana ya kuvaa simple kwako na kwangu ni tofauti.
Miili isiyo na shukrani. Kuna tajiri pande hizi nilipo, upepo ukipita unamwangusha lkn ana hela huyo mangi, we acha tuMkuu umenikumbusha mbali, mwaka 2009 niliwahi kwenda duka la mariedo pale benjamin mkapa tower, kuna mdada pale na haka kaumbo kangu kama sijala mwezi mzima akawa ananitazama kama vile niliyepotea njia.
Nikawa namuuliza bei ya vitu mbalimbali ananijibu kama vile tuna ugomvi.
Mwisho akaona naanza chagua akawa ananitazma kwa hasira.
Nilipochukua bahasha ya kaki yenye michuzi nikaweka kaunta kumlipa maana nilichagua vitu vingi ndipo akaanza nikenulia na kunichekea sana.
Tatizo people judge other people kwa mavazi na vitambi.
Wengine hata tule vipi afya ilishaweka mgomo
Ha ha ha hafu full tank yenyewe hata laki haifiki. Wahudumu Mungu anawaonaWatu wana dharau sana.
Siku moja natoka Bagamoyo niko na Vitz. Naangalia mshale wa Petrol inaelekea kukata. Niko pale JKT karibu na njia panda ya kwenda Kunduchi nikaingia shell. Kulikuwa na foleni kidogo, nikasogeza gari nikafungua tank nikamwambia muhudumu jaza full tank. Jamaa akaanza dharau, utalipa? Nikamjibu kwanini nisilipe, tukarushiana maneno pale mwisho wake akajaza. Nikampa pesa yake nikaondoka. Sasa sijui alikuwa anahofia nini
Mimi ninakama case tatu za hivyo ila leo ntasema moja,
Kuna kipindi nilihamishwa tawi nikapelekwa mkoa mwingine sasa nilifika mapema mida ya sa tisa nikaona ofisi za tawi letu kumbe lipo barabarani tu nikasema ngoja niingie nimsalimie mshkaji (Meneja anaeondoka ambae mimi nilienda kumbadili). Kwanza nilipopark gari tu mlinzi akanifuata kwanini nimepark gari vibaya akanichimba biti nikamuomba msamaha..basi nikaingia ofisini nikaenda dawati la huduma kwa wateja...nikakuta mdada na mkaka nikawasalimu akaitikia tu mdada lijamaa likaniangalia tu kisha likaendelea na kazi. Nikamuomba huyo mdada ninashida na Boss akaniuliza kwa nyodo kwani umeona sisi hatuwezi kukusaidia? Hapohapo lijamaa likadakia Boss anawageni subiri...basi wakanichomesha mahindi hapo hadi nikawaaga ntarudi kesho hata hawakunijibu....basi kesho yake mida ya saa nne Boss wao akamtuma dereva kunifuata hotel niliofikia maana nilimtaarifu usiku kwamba nimefika na kwamba nilipita ofisini ila akashangaa kwanini sikuingia tu nikamwambia si tatizo nilipita tu one time nikaona upo bize...kumbe asubuhi akawaambia staff 'The new Boss is already in town' na dereva atamfuata mida ya saa nne.. wakawa wanaona mda hauendi wamjue ni nani...saa nne ikafika...gari ikafika...ikapark....Stelingi nikashuka.... Sikumbuki vizuri ila niliona tu watu wamechanganyikiwa wanaangaliana...Baadaye wakawa hawatulii kumbe wanawahadithia staff wengine..Mbona waliisoma namba kisaikolojia maana sikuwaambia kitu kama mwezi hivi hadi wakanifuata wenyewe nikawaambia 'good..you got yourselves a lesson'
Going forward kila mtu alinyooka japo bado walikua wanahisi kama kuna siku ya kutumbuliwa iko njiani
Aisee walikomaa..Mimi ninakama case tatu za hivyo ila leo ntasema moja,

Nafikiri tuna tatizo kubwa sana la "Mikataba ya Huduma kwa Wateja" katika maeneo mengi ya kazi.
Hili suala liliwahi nikumba nimeenda pale AVIATION HOUSE-Kitunda;nilikuwa nimeenda kusajili kindege cha kampuni yetu pale,tulikuwa tumekikodisha toka nchi fulani ya Afrika sasa tunataka kubasilisha kitu inaitwa "Basement" ili tuanze kufanyia kazi Bongo.
Sasa nimefika pale reception namkuta dada anaelekea kwenye umama hivi,ninamuuliza "fulani" atakuwa ghorofa namba ngapi na chumba namba ngapi?Nimeelekezwa kwake nije nifuate taratibu za Ukaguzi ili nisajili ndege "yangu" hapa Bongo.....Yaani lile neno kusema "ndege yangu" na jinsi nilivyo,ni kama vikamchefua sana yule mhudumu...Maana akiniangalia nina pensi ya kiwindaji,safari boot na short sleeve double pockets.Mwili usio na shukrani sina cha kitambi wala rangi ya pesa...Alinipokea vibaya sana,yaani kunipa ile pass alinipa kwa mashaka sana....Nikajiuliza sana,hivi kwani mimi nafananaje!?Ilibdi nikajiangalie hadi kwenye kioo nyumbani