Kete Ngumu
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 6,661
- 6,909
Halafu wakifukuzwa kazi wanaanza kulalamika, mwisho wa yote wanaenda kumwaga kazi (kujiuza) barabarani.
mkuu hao dawa yao nikuwagegeda ndo watakuwa na adabu.Kuna hii bar hapa Kimara kona. Ma baa medi wanadharau watu Sana hadi uwape soda ndio achangamke. Vinginevyo utaendelea kupiga miayo.
Jirani na hapa wanapouza na kitimoto au?Kuna hii bar hapa Kimara kona. Ma baa medi wanadharau watu Sana hadi uwape soda ndio achangamke. Vinginevyo utaendelea kupiga miayo.
kuna lijamaa limoja muhimbili hospital lipo emergency building upande wamalipo linamanywele hivi hata halichani, lile kweli tikiti maji, watu tumepanga foleni kulipia lenyewe linaongea na mwanamke tena habari za kijinga kabisa, Watanzania hata kama kazi tumepewa na baba mdogo hebu tuzitendee haki, Kwani ukimjibu mtu vizuri na ukafanya kazi yako vizuri unapungukiwa nini? Tena ukifanya vizuri unapata baraka toka kwa mpewa huduma.Kabisa reception wadada huwa na dharau Mimi huwa naondoka bila kuaga halafu naenda tena siku nyingine nikiwa na namba ya boss wao .kuna eneo hizi Tira wale Wa vyeti vya kuzaliwa ,Nhif wale wa bima
Wenye hela wana nuru flani usoni.Nafikiri tuna tatizo kubwa sana la "Mikataba ya Huduma kwa Wateja" katika maeneo mengi ya kazi.
Hili suala liliwahi nikumba nimeenda pale AVIATION HOUSE-Kitunda;nilikuwa nimeenda kusajili kindege cha kampuni yetu pale,tulikuwa tumekikodisha toka nchi fulani ya Afrika sasa tunataka kubasilisha kitu inaitwa "Basement" ili tuanze kufanyia kazi Bongo.
Sasa nimefika pale reception namkuta dada anaelekea kwenye umama hivi,ninamuuliza "fulani" atakuwa ghorofa namba ngapi na chumba namba ngapi?Nimeelekezwa kwake nije nifuate taratibu za Ukaguzi ili nisajili ndege "yangu" hapa Bongo.....Yaani lile neno kusema "ndege yangu" na jinsi nilivyo,ni kama vikamchefua sana yule mhudumu...Maana akiniangalia nina pensi ya kiwindaji,safari boot na short sleeve double pockets.Mwili usio na shukrani sina cha kitambi wala rangi ya pesa...Alinipokea vibaya sana,yaani kunipa ile pass alinipa kwa mashaka sana....Nikajiuliza sana,hivi kwani mimi nafananaje!?Ilibdi nikajiangalie hadi kwenye kioo nyumbani
Kweli alikudharau. Hivi full tank ya Vits inafika 100,000?Watu wana dharau sana.
Siku moja natoka Bagamoyo niko na Vitz. Naangalia mshale wa Petrol inaelekea kukata. Niko pale JKT karibu na njia panda ya kwenda Kunduchi nikaingia shell. Kulikuwa na foleni kidogo, nikasogeza gari nikafungua tank nikamwambia muhudumu jaza full tank. Jamaa akaanza dharau, utalipa? Nikamjibu kwanini nisilipe, tukarushiana maneno pale mwisho wake akajaza. Nikampa pesa yake nikaondoka. Sasa sijui alikuwa anahofia nini
Nitahamaje wakati muuza kitimoto ni nyumba yangu ndogo??Sinuhame kwani mkeo anafanya kazi hapo au
kama humjui Aliko Dangote, akaja dangote na abromovic we unahisi mbongo atamshobokea nani hasa kwa kufikiria ndiye mwenye ela kuliko mwenzake?Wenye hela wana nuru flani usoni.
ndo maana magari ya namna hii hua tunaandika bango, " baba yako analo?"Watu wana dharau sana.
Siku moja natoka Bagamoyo niko na Vitz. Naangalia mshale wa Petrol inaelekea kukata. Niko pale JKT karibu na njia panda ya kwenda Kunduchi nikaingia shell. Kulikuwa na foleni kidogo, nikasogeza gari nikafungua tank nikamwambia muhudumu jaza full tank. Jamaa akaanza dharau, utalipa? Nikamjibu kwanini nisilipe, tukarushiana maneno pale mwisho wake akajaza. Nikampa pesa yake nikaondoka. Sasa sijui alikuwa anahofia nini
uliyatafuta mkuu ndege ya kumpuni ukasema yako unazani huyo mmama roho haimuumi?? na usikute kakuzid umri sasa anajiuliza umepitia njia gan kufanikiwa kuliko yeye mwenye umri mkubwa hapo ndo tatizo linaanzaNafikiri tuna tatizo kubwa sana la "Mikataba ya Huduma kwa Wateja" katika maeneo mengi ya kazi.
Hili suala liliwahi nikumba nimeenda pale AVIATION HOUSE-Kitunda;nilikuwa nimeenda kusajili kindege cha kampuni yetu pale,tulikuwa tumekikodisha toka nchi fulani ya Afrika sasa tunataka kubasilisha kitu inaitwa "Basement" ili tuanze kufanyia kazi Bongo.
Sasa nimefika pale reception namkuta dada anaelekea kwenye umama hivi,ninamuuliza "fulani" atakuwa ghorofa namba ngapi na chumba namba ngapi?Nimeelekezwa kwake nije nifuate taratibu za Ukaguzi ili nisajili ndege "yangu" hapa Bongo.....Yaani lile neno kusema "ndege yangu" na jinsi nilivyo,ni kama vikamchefua sana yule mhudumu...Maana akiniangalia nina pensi ya kiwindaji,safari boot na short sleeve double pockets.Mwili usio na shukrani sina cha kitambi wala rangi ya pesa...Alinipokea vibaya sana,yaani kunipa ile pass alinipa kwa mashaka sana....Nikajiuliza sana,hivi kwani mimi nafananaje!?Ilibdi nikajiangalie hadi kwenye kioo nyumbani
Nilipochukua bahasha ya kaki yenye michuzi nikaweka kaunta kumlipa maana nilichagua vitu vingi ndipo akaanza nikenulia na kunichekea sana.
Tatizo people judge other people kwa mavazi na vitambi.
Wengine hata tule vipi afya ilishaweka mgomo
Mtima nyongo wewe ni mganga. Ulijuaje. Huyo mhufumu wa kitimoto shemeji yako....yaani karibu kabisa na kezJirani na hapa wanapouza na kitimoto au?
Pole sana mkuu, Hakuna kitu kibaya kama kumdharau mtu yeyote na kuthamini mtu kwa kua anacho.. Maisha haya huwezi jua nani atakusaidia kesho uyouyo unayemdharau kesho anaweza kukuepusha na janga lolote lile... Hii kitu iko sana katika maisha yetu mtu anakudharauu kwakua hauna mwonekano fulani autakao.. Hii iko sana kwa sisi wanawake haipendezi.Nimeenda avic town kuangalia bei za nyumba nijaribu kulinganisha na gharama za ujenzi duh dharau niliyoipata nadhani bado tunahitaji kuajiri wageni katika sekta zetu, pale mapokezi nimekuta wadada wawili nauliza bei za nyumba wananijibu nyumba ya chini kabisa inaanzia milioni 120 nikaomba nionyeshwe ilivyo ......akagoma huku akinishangaa muonekano wangu, nadhani alitegemea aje raia wa kigeni we dada kaa ukijua siku hizi hela tunazo sisi wananchi wa kawaida wapiga dili wote wameishiwa kama unakumbuka leo walikuja dada mmoja amevaa baibui na mtandio na mwingine amevaa suruali ya jeans na top ya pink......usidharau watu kutokana na muonekano
Jamaa yangu ni mkandarasi hana majivuno kavaa simple na mwembamba alitaka akanunue pavement blocks za mradi zingegharimu kama zaid ya 80m. Akakutana na vidada vikamchangamkia namna wangefanya yeye apate chake na wao pia chao maana wanajua mahesabu kwani pavers huwa mara nyingi zinabaki baada ya kazi. Mshikaji akasema hapana atanunua anazohitaji na kulipa. Pale pale hawakumkopesha wakaanza kumdhihaki...ooh unakuta kijitu kimemaliza Chuo kinajifanya kiadilifu utakufa maskini. Yaan walichukia sana hao Dada. jamaa akalipia mzigo akasepa. The guy is worth billions wealth wakati hao wadada anaweza waajiri. Hii ndo hali halisi ukiwa na mwonekano simple kumbe millionaire.Tatizo la kuajiri vihawara visivyokuwa na qualification ya sales /marketing basi vinajiona ndio vyenye mali ....stupid.
Aiseeee hata wale watu wa parking za kwenye malls na magorofa ya kibongobongo wana zereu hatari.Kuna siku mtu wa mbele yangu alipewa parking mbaya tu ya kuzunguka nyuma ya jengo wakati mimi niklikuwa nyuma yake nikaonyeshwa parking nzuri.Alafu ile nashuka ananiambia hii gari ndio inastahili kupack hapa.Nilimtolea jicho nikamwambia acha dharau hakuamini.