illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,121
?????
Sinuhame kwani mkeo anafanya kazi hapo auKuna hii bar hapa Kimara kona. Ma baa medi wanadharau watu Sana hadi uwape soda ndio achangamke. Vinginevyo utaendelea kupiga miayo.
Utafikiri ni wafanyakaz wa vda bwanaNimeenda avic town kuangalia bei za nyumba nijaribu kulinganisha na gharama za ujenzi duh dharau niliyoipata nadhani bado tunahitaji kuajiri wageni katika sekta zetu, pale mapokezi nimekuta wadada wawili nauliza bei za nyumba wananijibu nyumba ya chini kabisa inaanzia milioni 120 nikaomba nionyeshwe ilivyo ......akagoma huku akinishangaa muonekano wangu, nadhani alitegemea aje raia wa kigeni we dada kaa ukijua siku hizi hela tunazo sisi wananchi wa kawaida wapiga dili wote wameishiwa kama unakumbuka leo walikuja dada mmoja amevaa baibui na mtandio na mwingine amevaa suruali ya jeans na top ya pink......usidharau watu kutokana na muonekano
CRDB iwafikieLeo naona ni siku ya kutoa kero.Kuna hizi ATM za mabenki ambazo kipindi cha holiday hawaweki pesa basi unazunguka mpaka unachoka.Hivi ya mabenki yana akili kweli?
Kuna watu wengine akili zao sijui huwa ziko vipi.! Sasa alijua huwezi kulipaWatu wana dharau sana.
Siku moja natoka Bagamoyo niko na Vitz. Naangalia mshale wa Petrol inaelekea kukata. Niko pale JKT karibu na njia panda ya kwenda Kunduchi nikaingia shell. Kulikuwa na foleni kidogo, nikasogeza gari nikafungua tank nikamwambia muhudumu jaza full tank. Jamaa akaanza dharau, utalipa? Nikamjibu kwanini nisilipe, tukarushiana maneno pale mwisho wake akajaza. Nikampa pesa yake nikaondoka. Sasa sijui alikuwa anahofia nini
Utakuta ulinunua nje ya bajeti yako kumuonyesha unazoMkuu umenikumbusha mbali, mwaka 2009 niliwahi kwenda duka la mariedo pale benjamin mkapa tower, kuna mdada pale na haka kaumbo kangu kama sijala mwezi mzima akawa ananitazama kama vile niliyepotea njia.
Nikawa namuuliza bei ya vitu mbalimbali ananijibu kama vile tuna ugomvi.
Mwisho akaona naanza chagua akawa ananitazma kwa hasira.
Nilipochukua bahasha ya kaki yenye michuzi nikaweka kaunta kumlipa maana nilichagua vitu vingi ndipo akaanza nikenulia na kunichekea sana.
Tatizo people judge other people kwa mavazi na vitambi.
Wengine hata tule vipi afya ilishaweka mgomo
Yaani kwa kwa jinsi ulivyotaja hako kaumbo nahisi nakufahamu, unakaumbo kadogo alafu unaenda sana usa na unaishi kule saku ya mbagala nimekosea.Mkuu umenikumbusha mbali, mwaka 2009 niliwahi kwenda duka la mariedo pale benjamin mkapa tower, kuna mdada pale na haka kaumbo kangu kama sijala mwezi mzima akawa ananitazama kama vile niliyepotea njia.
Nikawa namuuliza bei ya vitu mbalimbali ananijibu kama vile tuna ugomvi.
Mwisho akaona naanza chagua akawa ananitazma kwa hasira.
Nilipochukua bahasha ya kaki yenye michuzi nikaweka kaunta kumlipa maana nilichagua vitu vingi ndipo akaanza nikenulia na kunichekea sana.
Tatizo people judge other people kwa mavazi na vitambi.
Wengine hata tule vipi afya ilishaweka mgomo
Wamezoea kuuza Lita 5, 2, or 6. ndo shida yao wanawaangalia wateja juu juuKuna watu wengine akili zao sijui huwa ziko vipi.! Sasa alijua huwezi kulipa![]()
Hapana sikuwa nimepanga budget maalumuUtakuta ulinunua nje ya bajeti yako kumuonyesha unazo
Mimi nashindwa kuelewa hivi kwanini wahudumu wasipewe mikataba inayowafukuzisha kazi pale wanapokosa good customer care? kwenye mahoteli ni zero,ukija mahospitali nako zero yaani ujinga ujinga tu!Nimeenda avic town kuangalia bei za nyumba nijaribu kulinganisha na gharama za ujenzi duh dharau niliyoipata nadhani bado tunahitaji kuajiri wageni katika sekta zetu, pale mapokezi nimekuta wadada wawili nauliza bei za nyumba wananijibu nyumba ya chini kabisa inaanzia milioni 120 nikaomba nionyeshwe ilivyo ......akagoma huku akinishangaa muonekano wangu, nadhani alitegemea aje raia wa kigeni we dada kaa ukijua siku hizi hela tunazo sisi wananchi wa kawaida wapiga dili wote wameishiwa kama unakumbuka leo walikuja dada mmoja amevaa baibui na mtandio na mwingine amevaa suruali ya jeans na top ya pink......usidharau watu kutokana na muonekano
Watu wana dharau sana.
Siku moja natoka Bagamoyo niko na Vitz. Naangalia mshale wa Petrol inaelekea kukata. Niko pale JKT karibu na njia panda ya kwenda Kunduchi nikaingia shell. Kulikuwa na foleni kidogo, nikasogeza gari nikafungua tank nikamwambia muhudumu jaza full tank. Jamaa akaanza dharau, utalipa? Nikamjibu kwanini nisilipe, tukarushiana maneno pale mwisho wake akajaza. Nikampa pesa yake nikaondoka. Sasa sijui alikuwa anahofia nini
Huna pesa huna pesa tu toa vitisho vyako...wenye pesa wanaonekana hata kwa machoNimeenda avic town kuangalia bei za nyumba nijaribu kulinganisha na gharama za ujenzi duh dharau niliyoipata nadhani bado tunahitaji kuajiri wageni katika sekta zetu, pale mapokezi nimekuta wadada wawili nauliza bei za nyumba wananijibu nyumba ya chini kabisa inaanzia milioni 120 nikaomba nionyeshwe ilivyo ......akagoma huku akinishangaa muonekano wangu, nadhani alitegemea aje raia wa kigeni we dada kaa ukijua siku hizi hela tunazo sisi wananchi wa kawaida wapiga dili wote wameishiwa kama unakumbuka leo walikuja dada mmoja amevaa baibui na mtandio na mwingine amevaa suruali ya jeans na top ya pink......usidharau watu kutokana na muonekano