Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 2,813
- 3,767
Kwani anashindwa kujiongeza? Mpaka anatafutwa na mwanaume, bado hajui tu?Sio kawaida mtu usiyemfahamu awe na namba yako lazima uulize ameipata wapi?Hata kama ana miaka 40+,na yupo single.Tabia ya kugawa namba za watu bila ruhusa ya muhusika ni mbaya.Je kama ni stalker je?Huyo alokupa namba amefanya makosa!
Watu tuko tofauti kama mimi nina tabia ya kuongea na mtu siku nyingi bila kumuuliza jina lake wala kuuliza chochote kumuhusu. Sometimes akiniuliza jina namwambia utanijua mbeleni kama tutalazimika kuendelea kufahamiana. Mwisho wa siku najua jina lake kwa kusikia anaitwa, napata namba yake kwa njia yoyote ya utulivu ila sio kwake. Mazingira kama hayo asiponielewa basi kakaza kichwa mwenyeweSio kawaida mtu usiyemfahamu awe na namba yako lazima uulize ameipata wapi?Hata kama ana miaka 40+,na yupo single.Tabia ya kugawa namba za watu bila ruhusa ya muhusika ni mbaya.Je kama wewe ni stalker je?Huyo alokupa namba amefanya makosa!
Kitu kingine yaani wewe umekosa ujasiri hata wa kuomba namba mpaka upewe na mtu mwengine!Tatizo ni nini?
Sio kawaida mtu usiyemfahamu awe na namba yako lazima uulize ameipata wapi?Hata kama ana miaka 40+,na yupo single.Tabia ya kugawa namba za watu bila ruhusa ya muhusika ni mbaya.Je kama wewe ni stalker je?Huyo alokupa namba amefanya makosa!
Kitu kingine yaani wewe umekosa ujasiri hata wa kuomba namba mpaka upewe na mtu mwengine!Tatizo ni nini?
Ok lakini kwangu mimi sio kawaida au bora ujitambulishe mimi fulani nimepata nambaako kutoka kwa fulani ningependa tujuane or watsoever lakini sio blah blah coz unaulizwa namba umepata wapi...Watu tuko tofauti kama mimi nina tabia ya kuongea na mtu siku nyingi bila kumuuliza jina lake wala kuuliza chochote kumuhusu. Sometimes akiniuliza jina namwambia utanijua mbeleni kama tutalazimika kuendelea kufahamiana. Mwisho wa siku najua jina lake kwa kusikia anaitwa, napata namba yake kwa njia yoyote ya utulivu ila sio kwake. Mazingira kama hayo asiponielewa basi kakaza kichwa mwenyewe
Kwani anashindwa kujiongeza? Mpaka anatafutwa na mwanaume, bado hajui tu?
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Yeah sio mbaya ukisema kama dhamiri yako ni njema!Sio bhana..! Nimejitambulisha umenikumbuka labda tulikuwa kwenye party sehemu bado unataka kujua nani kanipa namba yako …! Like seriously
Labda angeomba personally asingepewa 🙈unajuaje kama hakutaka kumpa je!Kwani anashindwa kujiongeza? Mpaka anatafutwa na mwanaume, bado hajui tu?
Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
Naomba namba yako rafikiIlikuwa ni suala la kumjibu ulipoitoa namba yake,ni jeuri kuuliza hilo swali?
Kwanza we jamaa ni mzembe kama umeshindwa kumface mwanamke ukaomba namba
Wavulana kwanini mna ujinga mwingi namna hii?
Ilikuwa ni suala la kumjibu ulipoitoa namba yake,ni jeuri kuuliza hilo swali?
Kwanza we jamaa ni mzembe kama umeshindwa kumface mwanamke ukaomba namba
Wavulana kwanini mna ujinga mwingi namna hii?
Yeah sio mbaya ukisema kama dhamiri yako ni njema!
Wewe ndio hauko serious asee,.tena huyo dada akikupea tam bila kumjibu swali lake kuwa umepata wapi namba yake,basi wewe na yeye wote "juakali".....
Ukute hii thread imeandikwa na mtu mwenye 28+.