Dada una miaka 28+ unatoa wapi ujasiri wa kuuliza namba yangu umepata wapi?

Ujue iko hivi mkuu, Mimi huwaga sina utaratibu wa kumuomba namba mtu nikiyemuona kwa mara ya kwanza. So nikipata bahati ya kuonana naye hata mara nne hivi napiga naye stori ndio naomba namba ili safari yetu isiwe ngumu sana kuanza kuhangaishana kwa maswali ya watoto wa miaka 18.
Siwezi kuosema dhamiri yangu siku hiyo hiyo asee, nitajitahidi kuwa karibu yako kusoma character na namna vile unavyokuwaga ikitokea mtu kaelezea hisia zake. So nitakuwa karibu yako kwa siku kadhaa, nitakuomba labda twende out mara kadhaa huko ndio nitasema dhamiri yangu.
Naungana na waliosema kwamba wewe Ni Mr domo zege
 
Suala sio kumface, jana nilienda tunapokutanaga nikitegemea nitamkuta sikumkuta nikamwambia rafiki yake bhana yule rafiki yako nimempenda. Sasa yeye akasema ni jambo jema, nikamwambia vipi naweza kumpata wapi nikimkosa hapa akasema hafahamu labda anisaidie namba yake kwa sababu tubapigaga stori mara kwa mara hatakuwa na utata. Sasa wewe tumekumushana ukanimumbuka na nimekuambia siku hiyo nilitarajia utakuja hujaja kwenye glosari ninetafuta bamna ya kuwasiliana nawewe unakomaa nikuambie aliyenioa namba yako.
Hebu rudia kusoma ulichokiandika hapa.
 
Watu tuko tofauti kama mimi nina tabia ya kuongea na mtu siku nyingi bila kumuuliza jina lake wala kuuliza chochote kumuhusu. Sometimes akiniuliza jina namwambia utanijua mbeleni kama tutalazimika kuendelea kufahamiana. Mwisho wa siku najua jina lake kwa kusikia anaitwa, napata namba yake kwa njia yoyote ya utulivu ila sio kwake. Mazingira kama hayo asiponielewa basi kakaza kichwa mwenyewe
Kanuni yangu, namwambia shida yangu ana kwa ana. Nampa maelekezo. Yeye ndiye wa kusema nimpe namba, siyo mimi nimwombe namba yeye.
 
Ok lakini kwangu mimi sio kawaida au bora ujitambulishe mimi fulani nimepata nambaako kutoka kwa fulani ningependa tujuane or watsoever lakini sio blah blah coz unaulizwa namba umepata wapi...
Mimi huwa siwaaambii namba nimepata wapi

Naweza kukuambia nilipo Pat's namba mkaenda korofishana na Huyo alienipa namba au

Mkapanga yenu mnizunguke mnigeuze danga .

Bora usijue udili na Mimi perpendicular
 
Mimi huwa siwaaambii namba nimepata wapi

Naweza kukuambia nilipo Pat's namba mkaenda korofishana na Huyo alienipa namba au

Mkapanga yenu mnizunguke mnigeuze danga .

Bora usijue udili na Mimi perpendicular

Binafsi sitakuja kumwambia nani kanipa namba yake. Sitaki kugombanisha watu
 
Kanuni yangu, namwambia shida yangu ana kwa ana. Nampa maelekezo. Yeye ndiye wa kusema nimpe namba, siyo mimi nimwombe namba yeye.

Kwamba yeye unaombwa namba?? Huwa unawaambia unafanya kazi Ofisi ya Rais ?? Huenda anaomba umsaidie kupata kazi.
 
Naungana na waliosema kwamba wewe Ni Mr domo zege

Sio domo zege Mkuu, trust me, huyu manzi mara nyingi wakati tulipokuwa tunapiga stori alikuwa wanakuja rafiki zake. Ukumbuke ni Glosari na ipo karibu na saluni ya Kike. Kumtumia rafiki yake ni njia pia ya kupata namba…! Kuna wengine wanapenda akiona umefanya efforts kuitafuta namba yake, It’s a Perspective issue.
 
Tuanzie kwanza,kwa nn wewe umepungukiwa nguvu za kuombea namba kwa wanawake?

Sijapungukiwa Mkuu..! Alfu mbona mnaniandama utazani nimemtukana ama vipi ??
Kingine ni kwamba, Kama nimekupigia ukaniulizia wewe nani nikajitambulisha ukanikumbuka. What’s so important to know the person who gave me yournumber?
 
Back
Top Bottom