Dada anagoma kumpa Kaka mwanaye, waliyezaa naye

B
Kuna uwezekano mkubwa sana huyo unaemuita kaka hana mtoto hata mmoja kiuhalisia. Hata huyo anaefikiria ni wake kwa mkewe sio wake.

Katika mazingira fulani kaka na dada (mama zao mtu na mdogowe) wakajikuta wameanza mahusiano hatimaye kupata mtoto.

Dada alipoulizwa na wazazi wake kuhusu mimba akamsingizia mtu hewa, mtoto akazaliwa maisha yakaendelea, na huduma zinatolewa kwa usiri mkubwa sana mpaka sasa.

Wakati hayo yanafanyika Kaka mtu alikuwa tayari ana mke na mtoto mmoja mchanga.

Miaka 10 Sasa jamaa hajabahatika kupata mtoto mwingine kwa mkewe, pia kajaribu kutafuta nje ya ndoa imeshindikana kabisa, dada alishaolewa na amejaaliwa watoto wawili wengine.

Sasa Kaka anataka amchukue mwanaye aliyezaa na dada yake amlee kama mwanaye na awe sehemu ya urithi wake, lakini dada hataki kwasababu watu wanasema mtoto anafanana na Mjombaake (baba) Kwahiyo akimchukua siri itavuja,Kaka naye anatishia kutotoa msaada wowote endapo hatapewa mwanawe.

Kwenu wanaJF mnawaambia nini hawa wazazi mtu na dada yake.
Wote Jingaz ..!
 
Watajuana wenyewe na umalaya wao

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mbna kama ni wewe mkuu??

Usiogope weka wazi tu hata hivyo huenda huyo dada yako hayupo jf.

Ni yapi yalikua mapatano yenu na huyo dada yako? Yani kisa we umekosa mtoto huko ndo unataka kumharibia dadayo ndoa yake.

Achana na mawazo ya kumchukua mwanao huyo, vipi akikwambia na wewe sio mwanao.
Na je umeenda hospitali ukajua tatizo lako ni nini?? Iweje kipindi hicho upate mtoto na sasa iahindikane hata baada ya kutoka nje ya ndoa yako? Huenda hata huyo mtoto si wako mkuu. Pole sana.
Sio mimi mkuu.
 
Mbona rahisi yeye anamchukua km mjomba,na anampa jina lake sbb mtoto baba yake hajulikano. Na kwa mkewe anamwambia si unajuq kule siyo baba yake mzazi tuishi nae hapa mtoto wa dada k. Wetu ili atufaliji.
Tulishamwambia hivyo dada mtu lakini hataki kuelewa.
 
Kwa sababu unabisha kitu ambacho nina hakika nacho tena kiko katika kabila langu basi wewe endelea kuamini unavyoamini. Ila Kabila langu sio mjaluo ila ni mojawapo ya hayo uliyoyataja.
Mtajie tu kabila lako
 
Back
Top Bottom