Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,105
- 18,005
Uswahili ni uswahilini. Tunalala wengi mno kwenye vijumba vidogo. Na huko nje, tuna-share space ndogo na wapangaji wenzetu (wanaume na wanawake). Huo mchanganyiko ndio matokeo yake haya. Wapo wanaolala na wazazi, kaka/dada, binamu, nk achilia mbali majirani kwa sababu ya ku-share space ndogo. Na wapo wanaolala tu achilia mbali kuzaa. Wenye ndoa wanapofanya tendo kwenye nyumba ambayo haina nafasi, watoto husikia na kuiga mambo ya wakubwa. Sehemu rahisi ya kujaribia ni humo ndani kwa ndani.
Uswahilini kuna mambo