Mara nyingi ukiwa na character hizi hutopata shida na mademu hasa ukiwa mtamu kwenye pickup lines na kuamsha tabasamu la mwanamke.1.Lazima ujiamini
2.Lazima ujue kuchombeza
3.Lazima uwe nadhifu
4.Lazima uwe mchangamfu
5.Lazima ujue kupandanisha stori (ukianza stori moja hakikisha huimalizi, anza stori nyingine, demu asijue stori zinapandana)
6.Lazima uwe na ka-wallet kana noti za kuzugia (ku-boost confidence) kusudi ukiombwa hata juice sio unaanza kutoa mboni
Zingine ntaku-PM maana list ni ndefu sana
.
Mi sio mfupi mkuu lakin hata mademu warefu kunizidi nshapiga shazi...alafu sasa hata ukienda kiwanja ukiwa na demu aliyekuzidi urefu unaonekana unajiaminiMara nyingi ukiwa na character hizi hutopata shida na mademu hasa ukiwa mtamu kwenye pickup lines na kuamsha tabasamu la mwanamke.
Ila pamoja na yote hayo usiwe mfupi maana response utakayopokea kwa masista duh wengi itamaliza appetite yako ya kula. Labda uwafate wale wafupi wenzio tu π€£π€£π€£
Aaah bwashee hayo ni matumizi mabaya ya pesa bwasheeTafuta hela kama million 10.halafu nenda sehemu unayojua ina watoto wazur na wana makalioooooooo..mwambie mmojawapo nakupenda.halafu mnunulie kifurush cha laki 1.asipokukubalia kajitose baharini
Utakuwa charismatic sana.Mi sio mfupi mkuu lakin hata mademu warefu kunizidi nshapiga shazi...alafu sasa hata ukienda kiwanja ukiwa na demu aliyekuzidi urefu unaonekana unajiamini
unamuuliza tu dada unakojoleaga nini akikujibu mwambie nionyeshe.Wakuu nahisi mm ni muhanga wa hili tatizo na pengine kuna watu wanamna kama ya kwangu.....
Huwa napata wakati mgumu sana kumtongoza MTU pale napokutana naye kwa Mara ya kwanza, yaani hapo nikuwa ndo mmekutana naye kwa Mara ya kwanza inaweza ikawa labda njiani au kwenye daladala.
Maana wanaume sie huwa hatukawii kupenda na kama upo single basi kila mwanamke mzuri unayekutana naye unatamani awe wako Ila sasa mbinu za kumuingilia ndo huwa kitendawili....wazoefu tunaomba tushare hapa na wadada mnaruhusiwa kuchangia pia
[emoji23][emoji23] ila Jf kuna majibu ya hovyo sana.Kumbe shuleni kwenu mnaruhusiwa kutumia simu hadi muda huu wa prepo?
Hakuna formula. Inategemea na mazingira, mtu alivyo n.k. unahitaji kupiga calculation haraka haraka kichwani. Unaweza kutumia njia zifuatazo:
1. Tafuta upenyo wa kuingilia ( entry point). Yaweza kujifanya unaomba msaada fulani. Kwa mfano samahi dada una kalamu hapo unisaidie.
2. Toa sifa fulani ..Give a complement. Umependeza, nimependa style yako ya nywele...
3. Joke..fanya utani na mzaha kidogo..kumbuka uwe utani au mzaha usioumiza. Lengo ni kumfanye acheke.
4. Endekeza mazungumzo... Mazungumzo yasiyo boa. hakikisha unafanya mazungumzo general, usianze kuzungumzia vitu personal...Kama ulianza kutoa complement ya nywele ongelea nywele. ...siyo unafanya kazi, umesoma nini, unaishi wapi...Epuka pia kujiongekea mwenyewe..mimi nafanya hivi, nakaa kule.. Unless akuulize.
5. Omba mawasiliano.
6. Sepa zako. Usimpigie mpaka baada ya siku 2.
Note:
1. Kama ni sehemu ya kukaa, nunua kinywaji
2. Hakikisha always unavaa vizuri
Wahenga bado mpo tu katika game [emoji23][emoji119]Be friends to em first...
Get em to know you just a little but make em trust you thousand times...(believe me, trust comes first)
Avoid using words like "i love u", "be my wife", "i wanna marry you" etc zile maneno za kujicommit as iff unafanya application ya visa za mamtoni...
Instead tumia maneno like "najisikia furaha nikiwa nawe, chat nawe", au "i wanna know more bout you", "natamani kujua kama moyo wako ni mzuri kama lilivyo umbile lako".... etc
Kuna mengi ya kuandika, ngoja niishie hapa...
Duuuh so hadi yule pale magogoni naye ni kilaza.Hahahahahhaha hao ndio vilaza kabisaaa kwenye nchi yetu sijui wapoje
Ila jamani kuna wadada wengine kisanga tu, yaani hata hujamaliza shida yako anaanza kukuporomeshea matusi
[emoji23][emoji23][emoji23]Nunua gari wape lift utawafaudu kiulaini
Una sema " mambo Dada? Samahani unaenda wap? Akijibu... OK nimevutiwa na wewe kama itakupendeza naomba no. Ila kabla ya mtongozo jitathimini, uko smart? Sio umejivalisha vibaya utegemee akubali kirahisi.
Afu ongea kwa ustaarabu, pia kwanza muone kama mnaendana kiumri, watu wengi tuna tatizo la kudhalau wanaume wanaoonekana kama wavulana.
ππππππππunamuuliza tu dada unakojoleaga nini akikujibu mwambie nionyeshe.
Hatuna pesa mkuu Ila tunataka na sisi tule kibishi hivyo hivyoFala ww, una hela kwanza? So unatongoza pesa huna utaishia kuona sisi tunakula warembo tu
Mnaangaliaga usmart au kama pesa ipo?...hakuna lolote...mi nilishawahi kupendwa nikiwa hovyo kabisa kimavazi sema nilikuwa nazungusha pombe kama sina akili nzuri
Shunie kisu!!Acha udomo zege mkuu jiamini