Daah! Hivi unaanzaje kutongoza

Mnaangaliaga usmart au kama pesa ipo?...hakuna lolote...mi nilishawahi kupendwa nikiwa hovyo kabisa kimavazi sema nilikuwa nazungusha pombe kama sina akili nzuri
 
Unaanza kwa kusamilia KIUSTAARABU.

 
Ila jamani kuna wadada wengine kisanga tu, yaani hata hujamaliza shida yako anaanza kukuporomeshea matusi
 
Sema inabidi na wanawake muwe mnatutongoza bana, yaani unakuta mwanamke anampenda mwanaume badala ya kumwambia ukwel unaumia roho tuuuu so poa bana
 
Sema inabidi na wanawake muwe mnatutongoza bana, yaani unakuta mwanamke anampenda mwanaume badala ya kumwambia ukwel unaumia roho tuuuu so poa bana
Shida wakifanya hivyo wanaonekana kama wanajiuza ndo maana inakuwa vigumu kwao halafu na mwanaume picha inayomjia anahisi labda huyo manzi kuna kitu anakifuata kwake na wala sio mapenzi😁😁😁
 
Mdogo wangu naona unatafuta pepo linalonitesa.
Achana naayo mambo nakushauri.
 
Haya
Mdogo wangu naona unatafuta pepo linalonitesa.
Achana naayo mambo nakushauri.
Haya mambo hayakwepeki mkuu hata mapadree na masister siku hizi wanaibia kimtindo
 
Mambo dada?
 
Ukiwa smart na uko na mwonekano fresh

Aiseee hata ukisema mambo, naomba namb yko huchomolewi
 
Wakuu mpo vizuri isee, inabidi nianze kutafuta maconfidence sema wengine sura zetu ngumu changamoto hiyo pia....unamsalimia demu hata salamu hakupi mpaka unaishiwa na pozi na kushindwa kuendelea hata na mada
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…