hongera mkuu!!PESA YA PHOTOCOPY,BAHASHA,STAMPS NA MUDA NI MTAJI TOSHA kwako.
Ok mi nikupe ushaur huu: pls achana kbs na mawazo ya kuajiriwa maana ajira zimekuwa magumashi sana cku hzi..,mi nilipomaliza digrii yangu ya uhasibu moja kwa moja nilirudi kijijin nikiwa na laki tatu na sitini elfu(360000) nkaanza mradi wa ufugaji wa kuku wa kienyeji kwa kufuata ushaur na maelezo yalipo humu humu jf.,amini usiamin saiz siwaz kutafuta ajira ila nina vijana watatu nimewapa ajira tunasaidiana kulea kuku hao ambao wananiingia NET PROFIT ya 9M kwa mwaka,najenga sasa,nakausafir kangu,mtoto anasoma english medium na sasa nashauriana na wife aache kazi yake ya ualim tupige mzigo huu. Yan hyo pesa ya photocopy,stamp,bahasha na muda huo ulikuwa mtaji tosha.
Sina imani hiyo Chief. Wengine wenye imani hiyo watasaidiwa.
NiPM nikupe tacts za kutafuta kazi. Mimi nimepita huko ila baada ya kujua nifanyeje naogelea ziwani, madimbwi swimming pool, hadi kwenye ndoo ukiniwekea maji nachapa mwende.
Kikubwa zaidi ni kuwa na subra, Mungu anatoa kwa muda wake. Ki binadamu unaona kama ni mazingaombwe, usikate tamaa we endelea kuomba, acha kuhesabia cv ulizowahi tuma, JIPE MOYO.
"Pia tafuta sehemu ya japo ujitolee bure". Mkuu akijitolea bure atakula nini?Duh pole mwana. Tatizo inawezekana nafasi zipo ila kwa picha ya waajiri walio wengi mtu ukiwa na accouting tu nayo ni shida. Ndiyo maana Accounting and finance inakuwa na maana zaidi kwenye soko la ajira. Suala lingine, kutuma CV kama uyoga kwenda kwa kila mtu nayo inaweza kuwa usumbufu kwa hao mabosi. Nadhani labda ungejribu kuiweka CV yako more professional, pia tafuta sehemu ya japo ujitolee bure. Ila Pole sana.
Mjuni umenikumbusha, dah nimeshauza vyombo kwa jampuni pale Morocco(by far 2000) nliuza wiki 2 nkakimbia. Kweli maisha safari ndefu jamani, ninaimani ipo siku utafanikiwa bwa mdogo, tumepita wote ktk hizo challenge but saiv aagh shwari tu
Mimi naamini kuwa pa1 na kuwa na background mbaya ya familia bado ukitulia unaeza fanikiwa.
halafu unajisahau na ID nyingi nyingi..Wadau nimeitwa kwenye interview tra. Niombeeni niipate hiyo nafasi amina. Nashukuru kwa mchango wa mawazo yenu. Mungu atubariki sote
Asante kwa mawazo. But leo nimeitwa interview TRA...na Arusha kampuni ya wazungu.