Tatizo mimi nipo Chadema. Jamaa hata kua na msaada kwangu.
Kaka pole sana, jitolee tu mwisho wa siku utapata kazi nzuri, kuna dada mmoja alikuwa anajitolea NSSF miaka 3 sasa kapata kazi hapo hapo hivi karibuni. Usikate tamaa ipo siku yako.
Hihihihi...Henge bana. Sa matusi ya nini dadaangu¦¦¦¦....hutupendi machadema sio??...anyways..Nisamehe bure dada Henge.
Tatizo mimi nipo Chadema. Jamaa hata kua na msaada kwangu.
Halafu ndo mnasema turudi bongo usawa wenyewe wa kusaga lami hivi? Wengine hatuna ma connection bora tujisogezee siku tu huku.
Nilitaka kujua mdau ana profession gani ili kama haiko marketable tushauri kitu relevant, lakini mdau kasomea uhasibu, ambao unatakiwa kila sehemu.
Halafu anakwambia kujiajiri hana hata pa kuanzia. Let's face it, hata hicho kilimo kinahitaji kujipanga.
Asante kwa kutambua hilo
NiPM nikupe tacts za kutafuta kazi. Mimi nimepita huko ila baada ya kujua nifanyeje naogelea ziwani, madimbwi swimming pool, hadi kwenye ndoo ukiniwekea maji nachapa mwende.
Kikubwa zaidi ni kuwa na subra, Mungu anatoa kwa muda wake. Ki binadamu unaona kama ni mazingaombwe, usikate tamaa we endelea kuomba, acha kuhesabia cv ulizowahi tuma, JIPE MOYO.